nukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  2. W

    SI KWELI Jaji Warioba amesema kufanya vurugu wakati wa Cristmass ni uhaini wa imani za wengine, Mange na Maria walitaka kumpa pesa achochee vurugu

    Wakuu kuna hizi nukuu nimekutana nazo kumuhusu mzee wetu Jaji Warioba, Je ni za kweli ama janja janja.
  3. W

    Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  4. Mende mdudu

    Kulikoni TBC FM hamuweki nukuu za Nyerere siku ya leo, mnaweka nyimbo za komba?

    Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
  5. BONNIE GOLD

    Nukuu ya leo

  6. crome20

    Nukuu za kutafakarisha leo

    NUKUU ZA LEO; 1. “Madaraka hulevya, lakini madaraka makubwa hulevya chakari.” Lord Acton. 2. "Binadamu wote ni sawa, lakini baadhi ya binadamu wana usawa zaidi kuliko wengine" George Orwell. 3. "Sayansi haisemi uongo, lakini uongo unaweza kusemwa kwa sayansi" Richard Feynman. 4. "Jifanye...
  7. Lord Denning

    Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania. Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
  8. Komeo Lachuma

    Hizi Nukuu zina lengo gani kwa Serikali yetu?

    NUKUU ZA LEO A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela. 😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi. C). "Uhaini si kuzuia...
  9. F

    Nukuu huishi! Nukuu ya leo

  10. Muimba SINGELI

    Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  11. Zanzibar-ASP

    NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  12. Manyanza

    Nukuu zenye uwezo wa kurejesha matumaini pale ambapo mtu hana matumaini na zinaweza kukupa hamasa ya kuzidi kukabiliana na kila aina ya kikwazo

    Katika maisha 85% ya matatizo ambayo unaweza kupitia yanatokana na uhusiano wako na watu wengine waliokuzunguka ndiyo maana kila mtu akianza kusimulia kufeli kwake, kuharibikiwa kwake atakuwa na orodha kubwa sana ya watu wa kuwasemea vibaya. Hivyo miongoni kwa changamoto ni kutaka kubadilisha...
  13. R

    Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

    Salaam! Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika, Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea, Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu. Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
  14. Alloyce PR

    Utalii kwenye siasa (NUKUU)

    "Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." — Alloyce, P.R.
  15. Doctor Mama Amon

    Nukuu 33 za Madikteta Maarufu Duniani: Watanzania Tunajifunza Nini?

    Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945) 1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler 2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin 3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin 4...
  16. Saad30

    Uzi wa nukuu mbali Mbali Za wasanii, Wanasiasa, Wagunduzi, Wanafalsafa

    Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
  17. Holoholo

    Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kikrisito

    Tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe❤️ Ndugu zangu wakristo,huu ni Uzi maalumu kwa kuleta nukuu,kifungu,mstari wa Bible kwa njia ya picture
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  19. Dr leader

    Nukuu Muhimu za kuzingatia

    NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA 1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili kumaliza mazungumzo, si kwa sababu wanamaanisha kuwa wamekosea.”...
Back
Top Bottom