Wakuu,
Hapa Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT anasimulia matukio mawili ambayo yalimtisha sana baada ya kutekwa mwishoni mwaka 2024 mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Soma Pia: Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na...
Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.
Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita.
Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa akifanya kazi juu ya jukwaa. Mwanaume huyo kutoka Chenzhou, katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China...
Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!!
Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania inanuka damu iliyomeagika October 29,Damu haiwezi kulipwa Kwa vijineno kama hivyo na komedi za nchemba...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amewataka wapiga kura kote nchini kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu kwa haki na amani na kuchagua viongozi wao kwa makini ili kupata viongozi bora watakaowaongoza kwa miaka mingine mitano na kuleta maendeleo.
ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA.
Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa.
Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Kwa mfano mtu alie fanya Masters in Psychology vs mtu alie soma let's say vitabu elfu moja about psychology. Nani anakuwa nondo zaidi katika kwenye eneo husika la kitaaluma kwenye nyanja hiyo ya Psychology.
Katika hili, mimi hurejea hekima ya Bruce Lee. Aliwahi kusema " I don't fear a man who has practised 5000 kicks, but I fear a man who has practised 1 kick 5000 times"
Bruce Lee is making a lot of sense kwa sababu huyu alie practice 5000 kicks anaweza kuwa " Master of None " Ila huyu alie...
Habari wanajamii,
Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye biashara kwa bei nzuri sana za nondo tuwasiliane na maelezo mengine kupitia namba 0794669628 watu wa...
Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu.
Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24.
Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi.
Namsikia akiongea kwa data na...
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii
Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana
Nimempima Kwa mambo yafuatayo
1 Kutofautisha Maandamano na matembezi
Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano.
Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana Mbowe kama karatasi
Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema:
“Sisi vijana wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.