The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki...
Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea.
---
Uongozi wa kampuni ya SMALL PLANET ENTERPRISES LIMITED ambayo ni miliki wa bar ya...
Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko.
Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku.
Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku.
Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka.
Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi kama...
Habari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
noreformsnoreformsno election
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Wakuu mpo wazima hapa.
Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu.
Tuna weza na tutawafikia wote...
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia...
Wakuu
Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu...
Mchana wa leo saa saba, June 06,2025 Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche, akizungumza na wananchi wa Kata ya Ruaha-Jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro
#NoRefomsNoElection
Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo
1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote.
2. Matumizi mabaya ya serikali. Toeni mifano halisi kwa nini pesa ya wanainchi inavyoliwa. Tumieni mifano rahisi kueleweka...
Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara.
Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa kuona kama taifa tumeshindwa kukarabati uwanja wa mkapa unakataaje ajenda ya no reforms no election...
Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...