no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Tafakuri: Kuhusu No Reforms No Election, CHADEMA bado wana nafasi ya kuzungumza na Rais

    No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa. Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali...
  2. CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
  3. PreGE2025 Sumbawanga yazizima: Wananchi Wamsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi Hotelini. Polisi washindwa kuzuia maandamo yao

    Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano ya kumsindika hadi hotelini alipofikia. Unaambiwa hii haijawahi kutokea kwa historia ya siasa za...
  4. B

    PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

    Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION. Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
  5. PreGE2025 LGE2024 Rukwa: Lissu amtangaza Mwenyekiti wa Kijiji cha Ntalamila (CHADEMA) kama mshindi, baada ya Tume kutomtangaza

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  6. R

    Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
  7. PreGE2025 Lissu akabidhiwa Mkuki na Wananchi wa Kilando tayari kwa mapambano ya kuzuia Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.
  8. W

    PreGE2025 Godbless Lema aachia kionjo cha wimbo wake mpya wa 'No reforms No Election' atakaouachia kesho March 25, 2025

    Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25, 20225 (Jumanne)
  9. PreGE2025 Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA Mkutanoni, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarakani

    Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA hadharani kwenye Mkutano Mbeya, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarkani Soma Pia: Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
  10. PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

    Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La. Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025. Mimi...
  11. PreGE2025 Boni Yai afuturisha mamia ya Wananchi Pwani, ahimiza mshikamano na harakati za 'No reforms No Election'

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Hall Sinza jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2025. Akizungumza Baada ya iftar...
  12. PreGE2025 Makalla: Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi, labda Uchaguzi wa Ukoo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria. Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
  13. No reform no election imeiathili chadema kwenye daftari la wapiga kura tayari.

    Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali. Wajumbe wa CCM wako pembeni kwenye vituo vya kujiandikisha sijui wanafanya nini humo. Wanachukua namba ya simu...
  14. PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

    CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election" Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm) Wameanza na tone kampeni, Wamewaita wahalili wa vyombo...
  15. W

    SI KWELI PreGE2025 John Heche hataki No reforms No election na ametangaza kugombea Tarime vijijini

    Wakuu JamiiCheck, nmekutana na Taarifa inayoeleza kuwa Jihn Heche hataki ajenda ya No reform na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tarime vijijini?
  16. PreGE2025 POTOSHI Uzinduzi wa Operation ya No Reforms, No Election Kanda ya Nyasa umebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025

    TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA, Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection – Kanda ya Nyasa (Mbeya) imebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025. Marekebisho haya...
  17. PreGE2025 Mbeya: Chifu Mwanshinga akemea mipango ya kuzuia uchaguzi 'No reforms No election' amuombea Rais Samia apate ushindi wa kishindo

    Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi...
  18. PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

    Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani. Chadema wapo busy na "no reform no election" mara...
  19. PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea. Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
  20. PreGE2025 Amani Golugwa: Kuhusu kushiriki zoezi la kujiandikisha uchaguzi iulizwe Tume, hawakujibu barua yetu

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua na Tume watoe maoni kwenye kanuni kadhaa ambazo walikuwa wamepelekewa na waliijibu tume kwa barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…