Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...