The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?
Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa.
AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;-
Baba Levo- Kigoma Mjini
JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki
Kuna...
Wakuu,
Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita.
Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura
Msikilizeni hapa
Usalama kwanza
Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema.
Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa...
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo...
Wanaukumbi.
No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.
Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.
Rais Samia anachangiwa na kila...
Kaulimbiu ya "No reforms, no election" (Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi) ni ujumbe wa kisiasa unaotumiwa na vyama vya siasa au makundi ya kijamii kudai mabadiliko ya kimsingi katika mfumo wa uchaguzi au uendeshaji wa serikali kabla ya kuruhusu au kushiriki katika uchaguzi mkuu. Lengo lake...
GT
Hali ndo kama mnavyoiona. Hapo Lisu bado hajatoka kudadadeki maCCM Mmekataliwa duniani na binguni. Endeleeni kulazimisha ila karma haijawahi kukosea njia
Utawala wa kidikteta wa Mynanmar umeptisha sheria kali kwa watakaopinga uchaguzi ww nchi hiyo mwishoni mwa mwaka huku ukiweka sheria mbalimbali za vifungo kuanzia miaka mitatu hadi kumi kwa makosa mbalimbali ya kupinga uchaguzi kuanzia kuhamasisha watu kutoshiriki, kufanya maandamano kupinga...
Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
"Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.
No Reform No Election ✊️ ✌️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.