The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Amani iwe kwenu wapendwa
Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani
Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda kinafuka Moshi
SAYUNI BOY
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote.
Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika, watetezi wa haki, na asasi za kiraia, wote walishauri:
1. Kuwe na Tume Huru ya uchaguzi ambayo...
No Reform No Election yapoteza mwelekeo Rukwa
Licha ya idadi ndogo ya wananchi wanaohudhiria katika mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kihoja kingine ni kwamba baada ya viongozi kuona idadi ya wanaohudhuria ni watoto wadogo wamelazimika kuwaimbisha nyimbo za watoto.
Hilo...
Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka Cha kujeruhi na kuwasababishia wapinzani ulemavu ! Na wengine wengi wamepoteza maisha !! Ikiwa mfumo...
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.
Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI.
Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo.
1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake.
Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election.
Sasa Mungu anawambia wazi mipango yenu ya giza au ya kheri ipo wazi , na rada ya Mungu ipo popote pale mpangapo maovu juu ya...
Mwanachama Wa Chama Cha Demokasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho, Ndugu Romanus Mapunda, amejitokeza Hadharani na kupinga vikali sera ya " No reform No Election" Kwa Kuwa unaweza kuzima ndoto yake kuwa Rais na Haina Afya Katika Demokrasia ya Nchi.
Kupata...
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa...
Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October,
Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya kuingia bungeni 2025, lakini maono ya viongozi wao wanaona ya kwamba hata kama wakiingia ulingoni...
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana uwezo wa kuikabili na nguvu ya hoja hiyo inavuka mipaka ya nchi.
Lakini kwa vile masikio na mawazo ya...
Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe daktari wa kupima afya ya akili
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Kumekuwa na kauli inayozidi kushika kasi miongoni mwa wanasiasa wa upinzani: “No reform, no election.” Wana maana gani? Wanataka kusema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka marekebisho ya mfumo wa uchaguzi yafanyike. Lakini je, hii ni hoja ya msingi au kisingizio cha kukwepa ushindani?
1...
Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,
LAKINI
Wakati mnasukuma agenda ya NO REFORM NO ELECTION, hakikisha wanachama WANAJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE MIKOA YAO ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIKIANZA MIKOA...
Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele, hakuna yeyote atayesema hakuambiwa.
Kupata matukio...
MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA.
MJINGA: No Reform, No Election.
MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo.
MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms.
MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura.
MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesema bila kujali kauli ambazo zinatolewa na vyama vingine, Wao wapo tayari kwa uchaguzi na wamejiandaa vilivyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM) Fadhili Maganya amesema hayo jijini Arusha katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea...
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
Wakuu
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale
Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO, bali kwasababu ni takwa la kikatiba lililotokana na VIKAO halali vilivyopewa nguvu ya Kisheria...
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.
Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.