The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe...
Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election...
Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? 🤔
Ni kweli wananchi wameelewa Hiyo kampeni ?
Ni kweli watu hawatashuiriki Uchaguzi Mkuu?
Tume huru...
Naam...
Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.
Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.
Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?.
Hata...
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari...
Mbunge wa viti maalum Riziki Said Lulila wakati akichangia bungeni Juni 4, 2025 kwenye wizara ya fedha ametaka fedha zinazoingia nchini zikaguliwe ili zisije kuingia kwenye matumizi yasiyofaa na baadae kuleta machafuko kama yanayofanywa na M23 huko Kongo.
Aidha amesema kuwa kama uchunguzi wa...
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!
Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.
Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election...
Kama kawaida Chadema ilianza kwa Sala za Mashehe na Maaskofu ili kuweka Ulinzi wa Mungu.
Pichani ni Baba Askofu Mwamakula akiondoa nuksi Jukwaani
Baada ya Dua kishindo cha Elimu kikaendelea
Baada viwanja kujaa kupita kiasi wananchi wakajiongeza na kuparamia mapaa ya nyumba za Wazalendo...
Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election.
Kwanini anavitetea...
Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi.
Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli.
Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
Bila reform wapenda mabadikilo kokote kule ni vigumu sana kwenda kupiga kura, hata kama leo hii CDM ikasema itashiriki uchaguzi sio rahisi tena watu wabadili mawazo na aakapige kura.
Waatakao piga asilimia kubwa ni wapambe wa CCM, hivyo ni vigumu sana kwa wagombea wa vyama vya Upinzani kama ACT...
Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing.
Nilipoanza kusoma Postgraduate upande wa Oncology nikagundua Cells Multiplications and Mutations ni the...
Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walioenda shule halafu mnawanyima kazi na kuwapa kazi machawa!!.
Tutawachakaza nyie mna...
Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
Hawa hapa ni Wakazi wa Kijiji Kimoja tu, kijiji cha Malwilo, Jimbo la Kisesa, wakazi hao wote wamekubaliana na hoja za Chadema, ambapo taarifa hizi zilipomfikia Mbunge wa Jimbo anayeitwa Luhaga Mpina, aliishia Kupigwa na Butwaa na kukata tamaa.
Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama.
Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
Kwanza,
Nianze kwa kumpongeza Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema. Pamoja na hila zote, ameendelea kuchanja mbuga na kusokota timu yake vizuri. Moto unawaka. Pamoja na viongozi wengine, Mahinyila aandaliwe ratiba, hatumuoni sana. Wakati huu tunahitaji kumuona "kila mtu kwenye mchakato".
Pili...