no reform no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Waganda waitaka No reform No election ya CHADEMA

    Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani. Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA. CHADEMA...
  2. K

    PostGE2025 No reform no election ilikuwa akili kubwa. Agenda imefanikiwa

    Tanzania haikuwa na reform wala uchaguzi. No reform no election kwa namna hivyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mliokuwa mnauliza itatekelezwa vipi sasa jibu ni Watanzania wenyewe watachukuwa nchi yao kwa amani au kwa damu. Huyu Mama amekaa kama mdoli hata hajui analofanya Anayebisha...
  3. Sifi Leo

    Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  4. A

    Maana Halisi ya NRNE (No Reform No Election)

    Kume kuwa na tafsiri potofu ya baadhi ya watu kwamba NRNE ni Ku hamasisha uvunjifu wa Amani, wakati No Reform No Election, maana yake Halisi ni kwamba uchaguzi unaofanyika katika mazingira yakuto kutoa nafasi sawa kwa wengine ni sasa Sawa na kutokuwepo Kwa uchaguzi. Wahusika wajitafakari na...
  5. technically

    Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

    Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea. Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha. Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha...
  6. Hance Mtanashati

    Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu . Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni...
  7. Dennis Robert Shughuru

    GE2025 No reform no election lazima ihusishe mabadiliko ya katiba ya sasa ya mwaka 1977 au kupitia katiba mpya

    Ni miaka mingi kumekuwa na kilio cha kufanyiwa mabadiliko ya tume ya uchaguzi ila mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema kama chama cha upinzani chini ya mwenyekiti freeman mbowe kwa pamoja waliazimia kuwe na mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi na wakaja na no reform no...
  8. K

    Wananchi, Wanaharakati na Viongozi wa Dini pazeni sauti zenu yuko wapi Mwinjilisti Elias Juma?

    Aliyeimba wimbo wa "Waraka wa CHADEMA" No reform No election.
  9. K

    Mchungaji Genius aelezea kuhusu No reform no election!

    Chadema ndiyo chama peke cha upinzani!
  10. K

    GE2025 No Reforms no Election imeshafanikiwa

    Imefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki. Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa wanajua Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani. Hiyo siku ya uchaguzi hata watu wakikaa nyumbani...
  11. Marco Seth

    Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  12. Marco Seth

    Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  13. tonicimmobility

    GE2025 Wenje: Hakuna uchaguzi ni maigizo, Samia anashindana na kivuli chake

    "Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
  14. K

    ACT wameyataka wenyewe. No reform no Election

    Tulishasema kwenda kwenye uchaguzi bila reform ni ujinga sasa CCM A inazuia hata CCM B🤦🏾‍♂️
  15. K

    CCM A inaogopa hadi CCM B! Tulisema no reform no election

    Tuliwaambia kwa wanaojielewa no reform no election. Na hata hao wanao waambia watawapa majimbo sio ukweli
  16. I

    No Election maana yake Wewe Hapo Usiende Kupiga Kura

    Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms. Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu sasa tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuendi kupiga kura siku hiyo waliyoipanga. Dhulma imezidi na...
  17. Idugunde

    Utabiri umetimia, Wanyonge wataka mabadiliko. walioshiba hawataki No reform no election

    Huu utabiri uliyolewa na Hayati JKN CCM imejaa mabwanyenye. Wameshiba. Wanajiamulia wanavyotaka. Wanyonge wanataka mabdiliko kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025 Sio mbaya ukiahirishwa hata kwa mwaka lakini tupate Katiba mpya.
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Golugwa: Mikutano ya hadhara ilitupa ushahidi jinsi ambavyo nchi hii inahitaji reforms kwenye mifumo ya uchaguzi

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema chama hicho kilifanya mashauriano ya kina na makundi mbalimbali ya kijamii kabla ya kuanza kampeni za mikutano ya hadhara ya viongozi wake wakuu, na matokeo yake yameonesha uungwaji mkono mkubwa...
  19. Waufukweni

    GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
  20. JOHNGERVAS

    No Reforms no Election ilianza zamani sana na CCM ya sasa yaani TANU

    Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ikiendelea kuunguruma mahakamani, @khaan_mbarouk ametaka kujua muktadha mzima wa kesi ambapo mkutubi @farhankihamu_jr ameamua kumrudisha kwenye historia ya kudai mabadiliko hadi TANU kushiriki uchaguzi mkuu wa kwanza Tanganyika.
Back
Top Bottom