nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. Memtata

    JamiiForums Tanzania NMB, hesabu zenu za mkopo sijazielewa

    Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia bado inasoma negative siwezi kupata chochote! Tangu nichukue mkopo ni mwaka mmoja sasa, lakini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

    Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
  4. julaibibi

    JamiiForums Tanzania KERO NMB uhakiki mnatutesa

    Hivi kuwaita wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa, tunaweka foleni kama kitu gani wengine wagonjwa. Kwanini isiwe madawati kila mahali hadi kwenye vituo kupunguza foleni. Foleni kubwa sana mpaka imekuwa mateso, wateja wengi hivi mtatuweka sana. Tunachoka, ntakuja kesho
  5. Shobi

    JamiiForums Tanzania NMB huwa wanatoa wapi pesa za kugawa

    Huwa naona NMB wako mstari wa mbele je hizo pesa huwa wanatoa wapi maana ni nyingi sana kwa mwaka mzima?
  6. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania NMB Tawi la Mlimani City mjichunguze

    Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia. Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo anautambulisho kamili toka serikali ya mtaa. Lakini alipoenda kwenye benki ya CRDB walikubali kumfungulia...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja inakawia sana tatizo lipo wapi?

    Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi? Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma? Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma kwa wateja? Ni NMB BANK
  9. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Securities Services Operations Officer at NMB Bank July, 2024

    Securities Services Operations Officer (1 Position(s)) Job Location : Head Office Job Purpose: Responsible for the day-to-day running of the Securities Services operations including Trade Settlements, Corporate Actions, Foreign exchange processing, Securities Reconciliation, Billing...
  11. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  12. Nyamboboy

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NMB wakala

    Habari za wakati huu. Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gawio la NMB Bank

    Heri ya Sikukuu ya Eid. Mimi ni mwanahisa wa NMB Bank. Nauliza kama wameshatuwekea Gawio maana sijaona meseji ya muamala!!!kwa mwanahisa mwenzangu msaada tafadhali
  15. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania NMB & CRDB haya mambo mtaweza??

    Hapa nimenunua tu muda wa maongezi wananitumia had email EQUIT wako vizuri aisee…..Hizi benki zetu zinazidiwa na kabank ka kenya…nchi nusu jangwa kama sahala inawazidi TANZIA
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Request For Information (RFI) at NMB Bank PLC June, 2024

    BUSINESS MANAGEMENT SYSTEM. 1 NMB Bank PLC is the largest commercial bank in Tanzania with vast branch network in all parts of the country, providing banking services to individuals, small and medium size corporate clients, as well as large businesses. NMB Bank PLC now invites applications...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Technology Quality Assurance at NMB Bank June, 2024

    ob Location : Head Office, Hq Main Responsibilities: Tracking, advising, and monitoring of IT-related issues from different committees of the Bank. Track customer experiences across online and offline channels, and touchpoints for technology products and services. Conduct gap analysis for...
  18. ITR

    JamiiForums Tanzania NMB dhibitini huu uhuni unao endelea kwenye benki yenu

    Humu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka. Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000. Sasa leo...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Legal Counsel; Zone Legal Advisory - Central Zone at NMB Bank

    Job Location: Central Zone Main Responsibilities: Business and Operational delivery Prepare court documents and represent the bank in courts of law. Manage relationships with external legal counsels within the zone and ensure all cases assigned to external legal counsels are properly handled...
  20. mika micah

    JamiiForums Tanzania NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Kama wapo nisaidieni kuwatag. Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k. Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika kabisa. Kuna haja ya kuwapa training wahudumu wenu on how to troubleshoot issue na kudili na...
Back
Top Bottom