nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB riba sio rafiki

    Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za kibanki ( kuuza mkopo) na hata ukiitaji kufanya kimoja kati ya hivyo vitatu hapo juu imekua ngumu...
  2. JamiiForums Tanzania Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni...
  3. JamiiForums Tanzania Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
  4. JamiiForums Tanzania NMB naomba mnijibu hii hesabu

    Wakuu, Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka….. Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala ,wakala akasisitiza ameweka….. Ikabidi nichukue statement. Jana nikarequest statement nikakatwa hela...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

    Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa. Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank? Kesi hiko hivi, Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita. Mpaka leo, ni siku saba sasa, lakini muamala huo bado haujatimia, wala fedha hazijarejeshwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania NMB Bank-Tatizo la miamala kutokukamilika [inprogress] mtalimaliza lini?

    Wadau, Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress. Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna ufumbuzi wa maana. Wanasema nisubiri wanashughurikia. Ajabu, hawajui ni lini watatatua hili tatizo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa tangazo hili, nawapongeza sana NMB

    Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao. Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine...
  11. JamiiForums Tanzania NMB leo Kulikoni?

    Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana nmb kwa kutoa gawio kubwa kwa kila hisa

    Binafsi nitoe shukrani zangu za dhatI kwa NMB kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuwahudumia wananchi. NMB imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa gawio nzuri kwa wanahisa wake. Mwaka huu wametoa Tshs.428 kwa hisa moja kiasi ambacho hakijawahi kutokea. Pongezi hizi zimwendee CEO wa NMB Mama Zaipuna...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mashine za NMB na CRDB wakala ni gharama hivyo?

    wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
  14. JamiiForums Tanzania Specialist; Technology Control at NMB Bank May 2025

    Specialist; Technology Control (1 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: Responsible for identifying, assessing, mitigating, and monitoring technology-related risks across all technology functions and ensuring compliance with relevant regulations and internal policies...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti ya salio halisi na salio lililopo NMB

    Wakuu habari zenu. Naomba kujua hela yangu halisi/iliyopo kwenye acc yangu ya Nmb ni ipi.Kuna gap kama la elfu 50 kati ya salio lililopo na salio halisi kwenye acc yangu ya NMB.
  16. JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 5 naweza fungua biashara ya miamala na wakala bank

    Wakuu nina milioni 5 hapa kama mtaji mbali na pesa ya kulipa kodi ya frem na tozo nyingine. Kodi ya fremu nategemea kuanza na shilingi laki 2 mpaka 250k Location popote penye wingi wa watu. Tupeane ABCD Kwa wajuzi na walio fanikiwa kwenye hii biashara. Pia vipi mwelekeo wa hii biashara ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwambisi Forest yashinda Milioni 50 Kampeni ya upandaji miti ya NMB

    Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika kampeni ya upandaji miti iliyoandaliwa na Benki ya NMB, na kuzawadiwa Shilingi milioni 50. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja ya NMB ni mbovu

    Nimejaribu kupiga simu kwa NMB huduma kwa mteja (customer service), tokea wiki iliyopita lakini cha ajabu hakuna simu inayopokelewa hadi leo! Sidhani km kuna kampuni mbovu kwa “customer service” kama hawa NMB!
  19. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

    Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb kwenda mtandao wa simu kupitia lipa mkononi muamala wa mwisho nimefanya jumamomosi saa moja hasubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania Vp mshahara umeingizwa tayari NMB?

    Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…