Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini.
Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada
1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana
2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Wakuu .
Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200.
------------------------------------------------
The...
Huyu kasema ana muachia mungu,mwengine kasema ana muchia shetani,mwengine kaenda kukuvunjia tikiti maji,Tuje kwa walokole sasa hapa lazima kombolero liingie.
Tukija TEC naona NOVENA itakwenda na wine kabisa.
Haya wale wanaojua kwenda kwa waganga au ndugu zao ni waganga utasalimika kweli.
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia.
Kwa mujibu wa Wakili...
Hamjambo Wakuu.
1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa;
2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana.
3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa
4. Viongozi wa...
Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo.
Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa.
Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini?
Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
Habari wadau.
Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka
Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
amani
bahati
bahati mbaya
chupa
faida
haja
kuendelea
kulinda
kulinda amani
kutumia
machafuko
matatizo
mbaya
mkono
mwl nyerere
njia
nyerere
taifa
tanzania
vita
===============================
Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema;
"....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...."
"......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado...
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu
Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho
Hii ni mada...
Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi.
Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...