Wakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...