nishati safi ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  3. M

    Agenda ya Nishati Safi ya Kupikia ni ya Makamba, akampa Samia. Isieleweke Vinginevyo

    Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi.

    Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameongoza uzinduzi wa mpango mkubwa wa mikopo ya Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya kusaidia biashara na miradi ya kusambaza Nishati...
  5. Hismastersvoice

    Kwanini serikali haitaki wananchi wa vijijini wakatumia nishati safi ya kupikia kwa gharama ya shilingi sifuri?

    Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika...
  6. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit

    Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...
  7. Pfizer

    Dkt Mpango ataka ubunifu wa vijana uzingatiwe katika matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Na Irene Gowelle Baku, Azerbaijan. Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Kauli hiyo ya Dk Mpango, inakuja kuweka msisitizo wa matumizi ya mbinu za ubunifu...
  8. Pascal Mayalla

    Nishati Safi ya Kupikia: Je Tunahitaji Zaidi Utashi wa Kisiasa, Political Will, au Mahubiri ya Nishati Safi, Huku Mazingira Bado ni ya Kuni na Mkaa?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
  9. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia: Kupata Kipato kutoka kwenye Carbon Credit kwa kuhakikisha wananchi wanapikia nishati safi

    Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon) kwamba wasizidi kiasi fulani. Sasa kuna nchi kama Tanzania yenye misitu na haizalishi sana Carbon...
  10. JanguKamaJangu

    Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  11. Mindyou

    Nishati safi yazidi kupamba moto Arusha! China yaipa Tanzania msaada wa mitungi ya gesi 800

    Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa kushirikiana na Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) wametoa msaada wa mitungi ya gesi na majiko kwa makundi mbalimbali mkoani Arusha. Siku ya Jumatatu wiki hii, ubalozi wa China walitoa mitungi 800 ya gesi pamoja na majiko kwa walimu, madereva, watumishi wa...
  12. Pascal Mayalla

    Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  13. Pascal Mayalla

    Nishati Safi ya Kupikia: Wiki ya Huduma kwa Wateja TotalEnergies Yamuunga Mkono Rais Samia, Kusambaza Gesi ya Majumbani Kila Kona Hadi Vijijini!

    TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA. Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, imeamua kumuunga mkono Rais Samia, kwenye kampeni ya nishati bora ya kupikia, kwa kuanza...
  14. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)

    Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
  15. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia (Ushauri kwa Watunga Sera)

    Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  17. Waufukweni

    Waziri Lukuvi aunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia, atoa mitungi ya gesi kwa vijana

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani. Waziri ametoa majiko...
  18. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
  19. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri TAMISEMI ahamasisha matumizi ya Nishati safi Kigoma, Agawa Mitungi ya Gesi 200

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwani waathirika wakubwa wa matumizi ya Nishati isiyo rafiki ni wanawake. Mhe. Katimba amesema hayo...
  20. Logikos

    Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Back
Top Bottom