nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  2. Yoyo Zhou

    Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  3. L

    Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  5. iamwangdamin

    Wanawake na nishati safi

    PHOTOS BY ME : HAPPY WOMEN'S DAY . Leo tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatambua mchango mkubwa wa wanawake katika kujenga jamii bora na maendeleo ya taifa letu. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika familia na jamii, na sasa wana nafasi kubwa pia katika kuhamasisha matumizi ya...
  6. O

    Bila kuwa na nishati ya kutosha, Tanzania itaendelea kuwa nchi masikini mpaka siku ya kihama

    Nishati (energy) ndiyo mhimili wa uchumi wa nchi. Mataifa makubwa kama Marekani hutafuta nishati kwa nguvu kubwa kwa sababu yanafahamu umuhimu wake. Modern geopolitics ipo centred around energy. Kwa wale wazee wa "Tujifunze skills za AI , AI is the future" takwimu zinaonesha matumizi ya...
  7. BigTall

    Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  8. Yoda

    Siasa za mtandao huko Marekani nako sasa zimeshika kasi, wafanyabiashara wa mafuta wameitia mfukoni wizara ya nishati.

    Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
  9. Stephano Mgendanyi

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  10. P

    Rais Samia Suluh Hassan Na Nishati Safi

    Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda). Hii inaiwezesha Tanzania kuuza na kununua umeme—kuifanya iwe kitovu cha biashara ya nishati ukanda wa EAC na...
  11. P

    Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  12. henry_john

    Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  13. henry_manywili

    Nishati safi kwa watanzania

    Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan. #Tunmjua.
  14. F

    Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  15. BigTall

    Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  16. Dr Luu

    Kutembea Peku (Barefoot Walking) – Njia ya Kupata Nishati Asilia

    Habari wakuu, Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞. Tunapopokea miale yake moja kwa moja, mwili unachochea uzalishaji wa vitamini D, mimea hupata nguvu...
  17. Roving Journalist

    Mjiolojia Nsajigwa Maclean: Tukitumia Nishati Safi Ya Kupikia Tutaokoa Hekta 400,000 Za Misitu Zinazoteketea Kwa Mwaka

    Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, jambo linalochangia kuongezeka kwa ukame na...
  18. Roving Journalist

    Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  19. ELI COHEN

    Kama uliweza kuvuka 30 na wala hauna addiction katika haya mambo au yameshndwa kunyonya kupindukia nishati yako na rasilimali zako, basi hongera sana

    Ni ngumu na mara chache sana ukishavuka 30 eti u-develop addiction mpya. 🚨KULA KUPINDUKIA FAST/JUNK FOODS 🚨KUNYWA KUPINDUKIA CARBONATED DRINKS 🚨 KUPUMULIWA KIFUA 🚨CLUBBING/PUBBING 🚨BETTING NA GAMBLING 🚨MITUNGI 🚨MIKASI 🚨NGADA 🚨SIGARA NA SHISHA 🚨MJANI 🚨OVER-MASTURBATION 🚨VIDONGE VYA...
  20. M

    Zaidi ya majiko 452,445 yasambazwa bure kuchochea Nishati safi

    RAIS SAMIA NA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI. ZAIDI YA MAJIKO 452,445 YASAMBAZWA BURE. LENGO KUPUNGUZA VIFO VYA WA KINA MAMA Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa...
Back
Top Bottom