nioe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  2. 1Africa54

    Nina mchumba nahitaji nimuoe sema sasa wazazi haswa BABA hataki nioe kabila lingine Zaidi ya binti kutoka Kilimanjaro nifanyeje?

    Nina manzi Hadi sasa ni Zaidi ya 3 years nipo nae tangu akiwa ana 19yr anasifa zote nazo zihitaji Shida Mzee anataka nirudi Kilimanjaro nichukue jiko kule alafu nimkache manzi yangu Mnashauri niforce vipi?👇👇👇
  3. Powell Gonzalez

    Lazima nioe wanawake wawili

    Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani. Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German girl' usikurupuke.
  4. Kazanazo

    Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

    Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja...
  5. Valencia_UPV

    Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

    Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
  6. Maleven

    Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

    Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto. Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau...
  7. Mr Beach Boy

    Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

    01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja. 02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa...
  8. Mung Chris

    Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

    Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
  9. Magical power

    Nitawaelezaje ili nioe?

    NITAWAELEZAJE ILI NIOE? Habari za leo kaka magic power Kuna jambo linaninyima usingizi sana,Mimi ni kijana na baba wa miaka 31 ila sijaoa ni mwajiriwa serikalini na mjasiriamali nina mabinti wawili mama tofauti ambao nilizaa nao mda wa kwanza ana miaka 08 yuko darasa la tatu na wa pili yupo...
  10. fimboyaukwaju

    Babu nioe au nizae tu?

    Kijana mmoja ana udugu nami japo kwa mbali, kaniuliza hilo swali, eti aoe mke au atafute mwaname wa kuzaa nae? Nimemjibu anipe wiki ndio ntamjibu, wadau mmeona hilo swali?
  11. Equation x

    Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

    Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani. Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa. Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa...
  12. Metronidazole 400mg

    Nimeamua rasmi nianze ku Date mishangazi TU na ikiwezekana nioe kabisa mmoja

    INSPIRED BY THIS PHOTO Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU Binafsi nimechoka kuwa na mahusiano na hivi videmu vya 2000 usumbufu mtupu!! na kupotezeana muda TU. Binafsi bila kusurutishwa na...
  13. Loading failed

    Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
  14. Mwachiluwi

    Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Habari za Leo. Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo. Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi...
  16. Yofav

    Kwanini nashauriwa nioe?

    Habari wana Jf, Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
  17. Phobia

    Nataka nioe mwanamke wa Kisukuma, Wanyantuzu je wapoje?

    Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee. Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
  18. and 998 others

    Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

    Wakuu nimekuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Mgeta - Morogoro. Sasa wazazi hawataki kusikia kabisa hii habari.
  19. L

    Nioe yupi kati hawa wadada wawili

    Kwema humu... naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado tunawasiliana vizuri tu japo tupo mikoa tofauti,,wa pili nimeonana nae mwaka huu mwanzoni kanivutia sanaa...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

    Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
Back
Top Bottom