nioe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nioe yupi kati hawa wadada wawili

    Kwema humu... naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado tunawasiliana vizuri tu japo tupo mikoa tofauti,,wa pili nimeonana nae mwaka huu mwanzoni kanivutia sanaa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

    Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
  3. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Habari za siku wadau Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji. Mimi siku zote nimekuwa navutiwa zaidi na mwanamke ambaye hana tamaa ya vitu...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Swali: Nioe au niolewe wapi?

    NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani. Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume. Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi? Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu...
Back
Top Bottom