Nic is a gender-neutral given name, often short for Nicole, Nicholas, Nicola, or Dominic. It is also a component of Irish-language female surnames. It may refer to:
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limesema kuwa Mwananchi mwenye changamoto na malalamiko yoyote kuhusu huduma zao anatakiwa kufika ofisini au kuwasilisha malalamiko yake kwa njia ya kuwasiliana na tawi lolote la Shirika hilo kwa hatua za uchunguzi na ufafanuzi zaidi.
Taarifa ya NIC imeeleza “Kwa...
Kero yangu ni kuhusu Shirika la Bima la Taifa NIC (National Insurance Company)... kwanza walipita makazini kutoa orientation jinsi wanavyofanya kazi... baada ya kusaini zile karatasi za mahudhurio waliunganisha baadhi ya watumishi moja kwa moja pasipo kuwauliza na wanawakata kwenye mishahara...
Anonymous
Thread
bima ya taifa
kero nic
nationa insurance company
nic
Kisheria,sera na taratibu Iko wazi pale mtumishi anapostaafu anapaswa kupewa stahiki zake zote kama vile michango ya bima ya ustaafu (pensave scheme) kwaajili ya kusaidia maisha baadae ya kustaafu kazi.
Sasa hawa NIC wamekuwa ni kikwazo sana katika hilo,unakuta mtumishi kastaafu zake na...
Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) !
Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ?
Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
Shirika la Bima la Taifa (NIC) linajivunia kumudu ushindani licha ya kuwepo na Makampuni zaidi ya thelathini kwenye soko la Bima Tanzania, imeweza kumudu ushindani kwa kufanya vizuri baada ya Shirika hilo kufanya maboresho tangu mwaka 2019.
Kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Bima Shirika...
Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani.
Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.