ni kwanini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…