Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua.
Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli.
Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
Tukiwa chuo kuna mwana alikuwa anapenda sana kitu inaitwa "Njoinjoi" bila shaka nitakuwa sijakosea.
Kwenye story anatoa sifa sana kuhusu hii kitu. Mim sikuwahi kuitumia kwanza hata pisi tu kuzipata ilikuwa shida 😂.
Mwaka 2022, kuna mwana nikakutana nae tena ananipa story za vitu unapaka...
Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
Habari,
Hongereni kwa kutimiza majukumu yenu ya kila siku kuhakikisha tunasogeza mbele gurudumu la maendeleo binafsi, familia na taifa letu.
Nimeamua kuandika uzi huu ili kuhakikisha pia tunajenga afya na kuendelea kutimiza majukumu yenu ya unyumba hasa kwa wanaume. Nimeleta hii huduma ya...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloathiri wanaume wengi, mara nyingi bila wao kujua, hadi pale hali inapokuwa mbaya na kuanza kuathiri heshima na furaha ya ndoa. Kupitia dalili hizi, unaweza kutambua mapema ishara za tatizo hili na kuchukua hatua kabla halijawa sugu. Soma kwa makini hadi...
Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona.
Sisi...
Tafiti zimeonyesha kuwa asilimia 49 ya wanaume wenye umri wa miaka 40–79 wenye shinikizo la juu la damu wanakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume. Kwa ujumla, asilimia 65 ya wanaume wenye tatizo hili hupoteza angalau sehemu ya uwezo wao wa kijinsia, huku asilimia 45 wakikumbwa na hali mbaya...
Wakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa...
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
Kisukari na Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
Kirusi kinachonyonya nguvu za kiume kwa vijana
Kijana unapopiga nyeto—hili jini ndo unalimwagia mbegu zako😆
Linanyonya nguvu zako kwa kasi ya 5G😆 vijana wekeni hii picha kwa simu zenu, ili kabla ya kufanya huo mchezo mnaliangalia kwanza —labda mtaacha🤔
1. Sababu za Kisaikolojia (70%)
Wasiwasi na Hofu (Anxiety): Hofu ya kumridhisha mpenzi wako au mashaka kuhusu uwezo wako wa kudumu wakati wa tendo la ndoa hupelekea kumaliza mapema.
Msongo wa Mawazo (Stress): Shida za kifedha, kazi au familia huathiri sana uwezo wako wa kudumu kitandani.
Aibu...
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwa wanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvunguvuzakiume
tezi dume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
zakiumezaidi ya
KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia.
Ofisini
Barabarani
Biasharani
Kanisani
Kwenye usafiri
Pia social media adds na reel/shorts automatic suggestions ( hata kama hufuatililii utawekewa kamoja) zinavyonza morali ya mwanaume KWA...
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.