nguvu za giza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    Wanamtandao pia wanatumia nguvu za giza

    Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!" hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja...
  2. Girland

    Utajiri kwa nguvu za giza -occultism(kwanini masharti huwa magumu sana)

    Umewahi kujiuliza kwanini Matajiri au watu waliofanikiwa ni wachache Sana kwenye jamii?Je unafikiri kwanini wengi wanashindwa kuupata UTAJIRI?Kuupata UTAJIRI unahitaji NGUVU ziwe za kiroho (za Giza au za kimungu) Ili ufanikiwe.Kwenye Biblia imeandikwa Kumb 8:18 "nawe utamkumbika BWANA Mungu wako...
  3. a sinner saved by Christ

    Tuwalinde watoto wetu wadogo dhidi ya mashambulizi ya nguvu za giza wanayopitia katika ulimwengu usio onekana wa kiroho

    Watoto wadogo pia kama ilivyo kwa watu wazima nao wanapitia vita vya kiroho kutoka kwa adui Falme za nguvu za giza na mawakala wa nguvu za giza.(shetani,wachawi,mapepo n.k) kwa uzoefu wangu mdogo wa kulea wajukuu zangu hawa wawili mmoja wa kiume yupo darasa la tano na mdogo wake wa kike yupo...
  4. The redemeer

    Nguvu za giza: Jinsi zinavyofanya kazi na kupenya kudhuru mtu au vitu

    Nguvu za giza (dark forces / evil spiritual forces) zinajumuisha roho chafu, mapepo, wachawi, mizimu ya giza, na mitandao ya kiroho inayotumika kwa madhara. Hapa chini naeleza mfumo wao wa kazi, mbinu, na upenyaji: --- 1. Asili yao ni nini? Ni nguvu za kiroho zilizo kinyume na Nuru ya Mungu...
  5. The redemeer

    Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza: --- 🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza ✅ (a) KIMWILI (Physical effect) 1. Harufu kali (aromatic compounds) Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
  6. The redemeer

    Nguvu za giza: Jinsi zinavyofanya kazi na kupenya kudhuru mtu au vitu

    Nguvu za giza (dark forces / evil spiritual forces) zinajumuisha roho chafu, mapepo, wachawi, mizimu ya giza, na mitandao ya kiroho inayotumika kwa madhara. Hapa chini naeleza mfumo wao wa kazi, mbinu, na upenyaji: --- 1. Asili yao ni nini? Ni nguvu za kiroho zilizo kinyume na Nuru ya Mungu...
  7. The redemeer

    Nguvu za giza ni nini?

    Nguvu za giza ni neno linalotumiwa kuelezea nguvu au mamlaka ambazo zinahusishwa na uovu, udanganyifu, hofu, uharibifu wa kiroho, au kinyume na nuru (mwanga wa kiroho). Katika muktadha wa kiroho, dini, na mafundisho ya kale, nguvu hizi mara nyingi zinaelezewa kama: --- 🔥 Maana za Kawaida za...
  8. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  9. Nikola24

    Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

    Habari yenu ndugu na jamaa zangu ! Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu. Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni. Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
  10. Ibun Sirin

    Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  11. KING MIDAS

    Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  12. Ibrahim HC

    Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  13. Mhafidhina07

    Kuna nguvu za giza zinatumika kwenye kinachoitwa upako. Mnakuwa wateja kwenye duka la shetani

    I am not joking to any body/ faith but I think we have to use force or praying for our beloved sister and mother as well as brother and fathers to set them free from devilship chair. Majuzi nilikuwa nimetune radio jina kapuni ilikuwa ni mahubiri ya kikristo bhana bhana nikajikuta nataka...
  14. mdukuzi

    Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

    LC 300 and alike is not for everyone. Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga. Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure...
  15. B

    Hizi ndizo Silaha za kushinda nguvu za giza

    Silaha za kushinda nguvu za giza, hasa katika muktadha wa kiroho au kidini, zinaweza kujumuisha: 1. Maombi: Kuomba msaada wa Mungu au nguvu za juu ili kushinda maovu. 2. Imani: Kuwa na imani thabiti kwa Mungu au nguvu za mwanga. 3. Neno la Mungu: Kusoma na kutumia maandiko matakatifu kama...
  16. Pdidy

    Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

    Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
  17. Raia Fulani

    Jioni moja nyumbani tulipokutana na nguvu za giza

    Yani ikabidi tuweke kambi nje maana ndani hakukaliki. Hakuna kilichoharibika maana pilau iliondoa sonona
  18. Morning_star

    Tanesco ndio wenye nguvu za giza! Wanga! wajiwawangia watanzania

  19. Mhafidhina07

    Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

    salaam leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind. Kuna mifano mingi jinsi ya...
  20. B

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
Back
Top Bottom