ngumi

Peter Kariuki Ngumi (born 16 July 1977) is a Kenyan boxer. He competed in the men's middleweight event at the 2000 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  2. Ziroseventytwo

    Canelo Alvarez vs Terence Crowford. Mpambano wa ngumi, unaanza dk 10 zijazo.

    Mwenye link tafadhali atuwekee hapa. Hili sio la kukosa
  3. MK254

    Video: Ngumi kwenye karamu, kila mtu na wake, ndio maana wanaume tunakufa haraka

    Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
  4. Hidden Diamond

    Utitiri wa wanawake kuingia dojo kujifunza ngumi inaleta taswira gani wakuu

    Binafsi nashangaa Sana kuona lundo la wanawake likikimbilia dojo kujifunza ngumi sijui no for self defense au vp naona wale tuliokuwa tunawaita Maua sasa wanaanza kuwa magugu. Kuna sister mmoja wa makamo kuna siku nimewahi muuliza ww dojo unaenda kufanya nini yeye aliniambia amechoka kuonewa na...
  5. GENTAMYCINE

    Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  6. Waufukweni

    GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  7. NALIA NGWENA

    Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

    Nimecheki mkono hapa nilidhani masihara Kumbe jamaa wapo serious kweli
  8. Alubati

    Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  9. ELI COHEN

    Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  10. Now and then

    Wanasiasa wa Tanzania wanachofanya sasa hivi ni kuamua kukwepa ngumi ya uso kwa kufumbo macho. Issue ya VETA ni ajenda ambayo imeletwa kimkakati

    Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha. Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi. Rais alipofariki - hii taarifa alipewa Majariwa. Vijana kukosa ajira -hii pia kapewa majaliwa. Korosho za mtwara -hii pia...
  11. ngara23

    Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  13. GENTAMYCINE

    Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  14. Ancient Resident

    Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili, Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
  15. errymars

    Tyson Furry atangaza kustaafu Ngumi baada ya kupoteza pambano lake la mwisho na Oleksandr Usyk

    Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn kufichua mipango ya pambano kati ya Fury na Anthony Joshua katika Uwanja wa Wembley, ambalo lilikuwa...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  17. K

    Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  18. Ojuolegbha

    Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  19. G Sam

    Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

    Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
  20. G

    Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
Back
Top Bottom