Chimamanda Ngozi Adichie ( (listen); born 15 September 1977) is a Nigerian writer whose works range from novels to short stories to nonfiction. She was described in The Times Literary Supplement as "the most prominent" of a "procession of critically acclaimed young anglophone authors [who] is succeeding in attracting a new generation of readers to African literature".Adichie has written the novels Purple Hibiscus (2003), Half of a Yellow Sun (2006), and Americanah (2013), the short story collection The Thing Around Your Neck (2009), and the book-length essay We Should All Be Feminists (2014). Her most recent book, Dear Ijeawele, or A Feminist Manifesto in Fifteen Suggestions, was published in March 2017. In 2008, she was awarded a MacArthur Genius Grant.
Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli kweli. mi kazi ngumu nafanya sana na wala sifanyi skin care mara nyingi, ni vile tu ngozi yangu...
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
✨ Handmade Leather Shoes (Premium Quality) ✨
📌 Imara, zinadumu muda mrefu — perfect for everyday & office wear
🥿 Available Sizes: 40 • 41 • 42 • 43 • 44 • 45
🎨 Colors: Brown & Black
💰 Price: 45,000 TSH tu
🛠️ Kila pair inatengenezwa maalum kwa oda yako — ndani ya siku 3 unapata viatu vilivyo...
Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ?
🤣🤣
Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨
Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na:
Unene uliopitiliza 🏋️
Kupungua uzito ghafla
Baada ya kujifungua 🤱
Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali
Mabadiliko ya homoni na urithi wa kimaumbile...
Hali hii hutokana na ngozi kupoteza uimara wake na kuachia mistari ya kudumu inayojitokeza. Mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza, kupungua uzito ghafla, baada ya kujifungua, mabadiliko ya homoni au hata urithi wa kimaumbile. Pia, matumizi ya vipodozi vyenye kemikali yanaweza kuongeza...
Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
Je, wewe n mmoja wapo ya wale wanunuao sabuni kwa kufata manukato pasi na kujali viambata viitengenezayo sabuni husika?
Hili ni moja wapo ya zoea baya la walaji wa bidhaa mbali mbali nnchini. Moja wapo ya walaji hawa ni watumiaji wa sabuni za kuogea.
Matumizi ya Sabuni zenye viambata vya dawa...
Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha.
MENTALLITY ⚡⚡
Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa Afrika, watu wa Himba wa Namibia wanaona ngozi ya chui kama ishara ya utajiri na uhalali wa viongozi...
Ni huko kanda ya kati Dodoma. Je watabakia? Baada ya kuambiwa wazi wasipitishwe wasije wakamotonaizi na kupetrolilaiz chama...watasepaaa ama watamyuti.
"ELIMU NA CONNECTION" NI KAMA BINADAMU NA NGOZI YAKE.
Salaam kwa wasomi...
Salaam kwa mliopo Vyuoni...
Nawasalimu kwa jina la "elimu na connection" - Itika "Mtaani kugumu".
Tusiwanyime ubuyu wadogo zetu waliopo vyuoni. Sikuhizi "elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake...
Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna...
Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi, asali ni kiungo ambacho kinaweza kujumuishwa katika utaratibu wako wa kutunza ngozi.
1. Moisturizer ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.