ngorongoro

  1. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  2. stakehigh

    MAKALA MAALUM: Wamasai wa Ngorongoro hawana budi zaidi ya kuondoka

    https://youtu.be/hqK3JMqiY0A
  3. K

    Bila kutangazwa Tenda waarabu wapewa Bandari, Ngorongoro, Mwendokasi na KIA

    Kwenye yote haya hatutaona mikataba yeyote sasa kama ni kwa manufaa ya umma kwanini mikataba ya siri
  4. Mshana Jr

    Ifahamu Ngorongoro

    Nimeona mitandaoni Hifadhi adimu ya Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze! Sitaki kuhoji zaidi maana nitazidi kuumia sana! Lengo la hii mada ni kuitambulisha Hifadhi ya Ngorongoro kwenu iliyovutia wawekezaji toka jangwani Hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania ni eneo lenye ekolojia...
  5. Damaso

    Kigezo cha UNESCO World Heritage hakitoshi kuwaondoa Wamaasai Ngorongoro

    Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya maeneo machache sana duniani yaliyo ya kipekee ndani ya UNESCO World Heritage Sites imezua mjadala...
  6. O

    POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  7. Waufukweni

    Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  8. Waufukweni

    Jaji Ndika: Ongezeko la watu Ngorongoro linaathiri matumizi ya ardhi

    Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Gerald Ndika, amesema mfumo wa matumizi mseto ya ardhi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro umeleta mafanikio makubwa katika sekta ya utalii. Akizungumza leo Alhamisi, Machi 12, 2026 katika Ikulu ya...
  9. baz kaiza

    Alietengeza mgogoro wa Aridhi Ngorongoro ndo anapokea riport ya tume leo tuache cheap politics hizi haziwezi kusogeza taifa popote

    Wakati mgogoro wa aridhi unaendelea kweli kama anaejiita amiri jeshi mkuu alishindwa kutoka na kusimama na kusema wamasai hawatikiwi kwenda popote wabaki ngorongoro kauli yake si ilikua inatosha tu kuweza kutatua huo mgogoro mpaka iundwe tume hiyo tume itumie kodi za wananchi maskini kulikua na...
  10. Waufukweni

    Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  11. Troll JF

    LIVE: Mheshimiwa Rais DK Samia Suluhu Hassan akipokea TAARIFA YA TUME ZA RAIS KUHUSU MGOGORO WA ARDHI NA UHAMAJI WA HIARI NGORONGORO.

    Watch https://www.youtube.com/live/kKU_Zsb_8bw?si=-QaqDHU-S9d8JH2Z Video Courtesy: State House
  12. Waufukweni

    Rais Samia apokea taarifa ya Tume za Rais kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw Mwenyekiti wa...
  13. A

    KERO Wananchi wa Kata ya Olbalbal – Ngorongoro tumekata tamaa, huduma ya Zahanati ya Kijiji ni mbovu sana

    YAH: KILIO CHA WANANCHI – ZAHANATI YA OLBALBAL HAINA DAWA, MAISHA YA WATU YAPO HATARINI Ndugu Wanajamii, Sisi Wananchi wa Kata ya Olbalbal, Wilaya ya Ngorongoro, tumefika mahali pa kuchoka na kukata tamaa kutokana na hali mbaya ya huduma za afya katika zahanati yetu ya kijiji. Kwa muda mrefu...
  14. stakehigh

    Ni mafuriko katika geti ngorongoro

    https://www.tiktok.com/@visitngorongoro/video/7585837537608961301
  15. K

    Watumishi wa Ngorongoro wajengewa uwezo, wakumbushwa kujiimarisha katika masuala ya mawasiliano na itifaki za kijeshi

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
  16. D

    PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  17. R

    Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

    Wakuu, Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana. Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia
  18. Fbn

    Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  19. Carlos The Jackal

    Serikali ya Samia Kwa Makusudi kabisa, Ilisitisha Uwekezaji Sekta ya Afya na Elimu Eneo la Ngorongoro ili kuwakomoa na kuwalazimisha wahame !!

    Kwamba Washauri wa Rais wakamshauri, ili hii Jamii ya Wamaasai itoke Eneo hili na MWARABU WETU awekeze Kwa Amani, inabidi kuzuia Uwekezaji kwenye huduma za Kijamii kama vile Afya na Elimu. Duuuhhhh Wamasai bado wakaamua Kufa Kwa kukosa Huduma lakini wafie katika Ardhi Yao
  20. Ngongo

    GE2025 Baada ya uchaguzi Wamaasai wa Ngorongoro watajuta

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta. Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026. Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
Back
Top Bottom