ngono

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnakutana Leo, Mnafanya Ngono Kesho, Halafu unataka akuoe akuoe? Helo Single Mothers, Hamjajifunza?

    Binafsi kuna jambo linanishangaza. Mtu alipitia maumivu ya kuachwa na mzigo wa kulea mtoto peke yake, lakini bado anakutana na mwanaume leo, kesho tayari wanafanya ngono. Je, kweli hapo kuna somo amejifunza? Ngono hata Kwa kinga hapana hapana. Kwangu mimi, ngono si jambo jepesi. Siwezi kukutana...
  2. JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

    Hopefully wote mko salama. Naombeni majibu tafadhali, Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..? Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea...
  5. JamiiForums Tanzania Raha za Peponi

    Raha Za Peponi (hedhi) wala nifasi, hawaendi choo kama ilivyo kwa hali Nao wake hao hawatakuwa wakiingia katika siku za huku duniani, Wala hawatazaa, wala hawatatokwa na manii. Anasema MWENYEZI MUNGU (Subhaanahu Wata'ala): وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ "NA HUMO WATAPATA WAKE...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiroho wa tendo la Ngono

    Mambo manne (4) yanayotokea wakati wa Ngono. a. Kukidhi matamanio au kujifurahisha (Satisfying desires) b. Kutengeneza muunganiko au mfanano ( To create bond) c. Kuchangia nishati au nguvu ya ndani ( To share energies) d. Kubadilishana roho or (inherit spirit) Wawili wanaposhiriki tendo...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tumeumbiwa starehe ya ngono kama mtego wa kuangukia kwenye majukumu mazito hadi tunazeeka?

    Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo ni jukumu lako tayari. Haya yote kwa kiasi kikubwa huwa tunayaanza kwa sex. Unapompa mimba...
  8. X

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

    Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: 1990 Hadi 2005 miaka hiyo ngono ilikua rahisi sana kuipata kuliko Sasa, sababu ni hizi 2

    Habari za asubuhi Katika tafiti yangu hii nimekuja na sababu kuu 2 ambazo ukizifatilia kwa undani utaungana namm kwenye hili suala 1. Kipindi hicho kulikua hakuna na huduma za miamala ya simu hizo binti akipinga mzinga/kirungu lazma afate geto kwa miguu yake, kulikua hakuna mambo ya kutuma...
  12. JamiiForums Tanzania Umasikini na ngono hatarishi

  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikao ya Kufanya Ngono Ili kupagawishana

    1. KIFO CHA MENDE. Huu ni "mkao" wa kizamani au kilokole kufanya mingine ni dhambi hahahah "Mkao" huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika "pembe" tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha mwanamke afikie kilele Kama kawaida lala chali huku...
  15. JamiiForums Tanzania Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Zanzibar Inaongoza Kwenye Biashara ya Ngono Mtandaoni

    Kwanza napenda ku declare interest kwamba mimi ni mnunuzi mzuri wa mabinti kwenye mitandao ya Tinder, Tagged na Badoo. Kila nikifika eneo jipya huwa nakagua profile moja baada ya nyingine kwenye mitandao hiyo na kufanya mchujo hadi nipate watoa huduma 5 wenye mvuto zaidi ndio nawapiga mkuyenge...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Uholela wa NGONO, POMBE NA MUZIKI: Ndilo janga kubwa zaidi la kizazi chetu"

    Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo wa Ian Durry wa mwaka 1977. "Sex, drugs, rock and roll" haukuwa wimbo au usemi tu wa wakati huo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…