Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
2,011
3,592
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard đźš®

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana Yanga.
 
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Mechi si tumeshinda! Au magoli hadi yafike 10 ndio furaha iwepo?
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
 
Mtu anaandika Kiingilishi anaonwa kaandika.

Yani mtu anatamani jana Yanga ashinde Chuma 4 hajaridhika na ushindi eti....

Halaf hajui kabisa kua Unavyomuona Pacome Leo anacheza Midfielder kocha mda wowote anaweza mbadili akasema leo kazi yako ni hiii na ukamuona siku hio hachezi vile unavyojua wewe kumbe kapewa maelekezo.

HERERRA aliwahi sifika kua ni mkabaji sana kupitia kumkaba HAZARD siku hio aliambiwa wewe usideal na mtu mwingine Deal na Hazard tu akienda kunywa maji kaa nyuma yake wengine achana nao...hapo utasemaje?

Tuelewe tu kua kila Match kocha anaingia na Falsafa tofauti unaweza Muona mchezaji unayemjua anachezaga hivi ila lwo hachezi vile ukaanza kulaumu kumbe ni maelekezo.

Mda Mwingine tujue Mifumo ya Mpira kua ina badilika game to game.
 
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard đźš®

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Hujui boli
 
Mpira ulishakushinda zamani tu kama ulitazama mpira na hukuona kazi ya Abuya basi wewe achana na mpira..
Jana Abuya alikua na kazi moja tu ya kuzima mashambulizi yanayoanzia kutoka zone ya simba ndio maana hukumuona kiberenge Mutale akikimbia na mipara kama alivyofanya kwenye mechi dhidi ya APR.
 
nyie watu amjui mpira mchezaji mzuri mapema tu unamwona. Duke ni small playee
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Nilikuwa nasubiri mwenye akili mmoja atokee nimpongeze. Sijachotwa na "you nailed it".
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Acha siasa he is a bad player. match ya kaizer he lost the most possession. he is back pass minded.

he makes aziz ki a terrible player. in short pale yanga swala la muda tu watamtema
 
Back
Top Bottom