ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa fasta ndugu zangu

    Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo. Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu. Nimeamka na simu tu na bundle. TIGO 0710782874 (Brown Nyanza) Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe wachaga wa machame na marangu na wakurya ni ndugu?

    Makabila ya Mara ni mengi kuliko mikoa yote ya Tanzania, kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu, Wasizaki, Wasukuma, Wataturu na makabila madogo kama Wanandi, Wakisii au Wamaragori. Kuna jumla ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

    Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana umemkumbuka tu na ungependa uzungumze naye, na inawezekana alifariki mkiwa katika ugomvi sasa unataka mmalize...
  6. JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kusitisha au kumsitishia ndugu yako matibabu hospitalini?

    Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali. Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu? Je...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  8. JamiiForums Tanzania Nawashukuru Wana ndugu

    Kuna michango ya Wana ndugu nilikua naichangisha,huu mwezi wa 6 tarehe 30 inabidi niikabidhi,aisee bby wangu si akafiwa na mama ake na inabidi watoe michango akawa na akiba kidogo Sana ikabidi mimi nichukue michango ya ndugu nimpe Ili afanikishe zoezi la kuzika, Hapa nasubiri mshahara nilipe...
  9. JamiiForums Tanzania Tuokokeni ndugu zangu siku mbaya hizi

    Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwani ndugu wa familia ya mzee Kijani hawaoni kama mwenzao yameshamshinda?

    Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki alichoharibu huyu mwanafamilia waliempa kijiti baada ya kiongozi kutoka familia hiyo Mzee Chuma kufariki...
  16. JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Rhimo Simeon Nyansaho Mkurugenzi mpya PSSSF mtazame vizuri huyo mhasibu hapo ofisini

    Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao. Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
  20. JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu watanzania

    Hope you are doing good
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…