ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye chaguzi ndogo za CCM ni dalili kuwa 2025 wasipoiba kura hawatoboi. Kiongozi wa sasa akigombea anaweza asishinde

    Iwepo tume huru kabisa. Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini. Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM. Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, hizi Sarakasi ninazoziona katika Uchukuaji wa Fomu za Chaguzi ndogo (za awali) za CCM zinaashiria nini kwa 2025?

    Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea. CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  6. JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu wana IQ ndogo sana

    Wasalaam wana JF Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana. Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina; ~sebule ~dining{chumba cha kulia chakula} ~jiko ~stoo ~choo cha kushea ~baraza ya mbele na ya jiko ~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6 ~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3} ~kupata...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Igoma-Mwanza: Bajaj ya abiria kwa bei ndogo

    Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
  10. JamiiForums Tanzania Je, Unahitaji Laptop ya Bei Ndogo Alafu Refurbished?

    Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP... Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget yangu nilipata... Ilikuwa ni aina ya LogiQ kwa kuwa sikuwa na uelewa mzuri kuhusu LAPTOP...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  12. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jinsi ya Kuanzisha na Kusimamia Biashara Ndogo

    Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali wadog na wakati katika kusimamia na kuendesha biashara zao.Wengi ambao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  14. JamiiForums Tanzania Kufungua Biashara Ndogo

    Kuhusu SISI Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekezaji wa hoteli Mkubwa, gharama ndogo

    Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja. Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu nchi yenye bei kubwa na yenye bei ndogo kwa uuzaji wa Data

    Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei ndogo zaidi ya data. Israel ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei ndogo kuzidi nchi zote, Nchini Israel 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 150/= au chini ya 150 Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei kubwa ya data. Guinea Equitorial ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    Mark 2 Mark X Passo Haya magari yakiwa used hapa nchini yanauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na mengine yenye umri sawa mfano IST, VITZ Nawasilisha
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  19. JamiiForums Tanzania Simba waziponda Sh milioni tatu za GSM, zilikuwa ndogo sana, wataja lengo la mkataba

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa. Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara: “Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi...
  20. JamiiForums Tanzania Neno nyumba ndogo linatumika visivyo, Serikali iingilie kati

    Habari wadau... Neno hilo limekuwa likitumika tangia zamani hasa kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja. Mke wa kwanza kuolewa na mwanaume fulani amekuwa akitambulika kama mke mkubwa au NYUMBA KUBWA kisha atakayefuata kuolewa na mwannaume huyohuyo basi amekuwa akitambulika kama mke mdogo au NYUMBA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…