ndoa

  1. JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
  2. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa sijui Ina nini, hata uwe na Phd Lazima ikupelekeshe

    1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso. 2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile. **Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo...
  4. JamiiForums Tanzania Mkoa gani hapa Tanzania unaweza kuoa kwa gharama nafuu

    Habari wakuu Hivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu Sihitaji mwanamke nahitaji mke Naomba nijuze
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa ni gereza ila hakikisha usiwe mfungwa

    Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza. Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

    Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana. Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri. Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

    Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu. Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa hapa!

    Sababu ni ipi? Je, ✓ ni bwana harusi? ✓ au ni bibi harusi? ✓ au ni best friend? ✓ au photographer?
  11. JamiiForums Tanzania Anavalishwa pete ya ndoa na mamsapu wake lakini! Mmmmm! Mimi sijamsoma

  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

    Hello wakuu, Greetings, Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba Nawakaribisha.
  13. JamiiForums Tanzania Somo nyeti: Unapokuwa katika mahusiano na mtoto hakikisha anashidwa kukuelewa wala kukusoma wewe ni mwanaume wa aina Gani

    Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa ....... Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama upo single usitamani ndoa

    Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa, Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera 👋👋👋 Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo Niliteseka sana ku hustle lili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake. Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
  16. JamiiForums Tanzania Dada na Mama zangu, angalieni mitandao ya kijamii isiwafanye mkasahau familia zenu

    Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
  17. JamiiForums Tanzania Either ndoa ni ubatili ila watu wanafanya siri, au mimi natumia sana akili au sina akili, au niliempata hastahili

    Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka. Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji pesa sipati hivyo huenda ndoa ni ubatili, walioimudu wanatumia akili na mimi sina akili. Huenda...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

    Habari zenyu wataalam, Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa. Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa za siku hizi hazina uaminifu hata kidogo

    Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

    1. Amechora tattoos. Red flag. 2. Ametoboa pua red flag. 3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag. 4. Anakunywa pombe red flag. 5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag. 6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag. 7. Ni muumuni wa twerking red flag. 8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag. 9. Round...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…