ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Mume/Mke apende tena huku akiwa ndani ya Ndoa?

    Watu wengi hukimbilia kwenye ndoa kwa kudhani kuwa ndoa ni tamu. Mara tunajionea walioko ndani ya Ndoa wakipenda tena nje ya Ndoa huku wakionesha kukinai Ndoa yao. Au Mahusiano ni matamu kabla hamjaingia ndani ya Ndoa? Kuingia kwenye ndoa au kunahitaji mtu mwenye akili za namna gani? Mbona...
  3. JamiiForums Tanzania Namuachaje kwa Amani? Nilimtoa kwenye ndoa ili anizalie sasa mke wangu kapata mtoto

    Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka! Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke wangu tulikuwa hatujabarikiwa kupata mtoto. Tulikwenda hospitalini kupima, ikagundulika yeye ndiye...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi kanisa lilivyovunja ndoa ya binamu yangu na kumfuja mali za talaka, wanawake wanaoabudu manabii wa mchongo wamechotwa akili huwaambii kitu

    Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
  5. JamiiForums Tanzania Nini hasa siri ya amani, furaha, upendo na kudumu kwa mahusiano na ndoa yako kiasi hicho?

    hadi naandika hoja hii, kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na wenzi wao, hawaishi pamoja na wala hawa wasiliani tena, ni maadui wa kubwa, wenye uhasama ambao kila...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ndoa huwa zinasajiliwa kwenye mfumo?

    Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana...
  7. JamiiForums Tanzania Makosa ambayo wanaume tunakatazwa kuyafanya kwa wanawake wetu na kutugharimu

    Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi 1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake 2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji. 3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu 4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
  8. JamiiForums Tanzania OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  10. JamiiForums Tanzania Kisanga cha wana ndoa na uzazi

    Anahitaji ushauri, soma kisa chake hapo 👇 My wife is pregnant with another man's baby and now she wants to leave me. For some background, I got married years ago and my wife and I were happy but issues started when several years passed and she was unable to get pregnant. We tried all we could...
  11. JamiiForums Tanzania Bachelor ukirudi ghetto ni nini kinakupa Company?

    Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  12. JamiiForums Tanzania Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

    miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  15. JamiiForums Tanzania Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  16. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

    Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda. Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ni kipaji kama hauwezi achana nayo

    Jichunguze tabia zako kama unajijua huwezi kutulia na ndoa yako tuliza kizazi alasivyo tutakikata!. Unaoana ili iweje ukijua utamletea mwenzako balaa!,kama hicho kipaji huna jishughulishe navitu vyengine usihangaishe makomwe yawenzako. Mnaona halafu mnasumbua wazee kila siku vikao wanakosa...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya ndoa, kwanini mnatumia muda mrefu kuchunguzana?

    Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..? hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..? Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…