ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani. Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi.... Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa kwa watu wa nchi tofauti

    Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
  4. JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni kiuongo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya ndoa

    Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  6. JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wengi sio dhambi

    Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  8. JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  9. JamiiForums Tanzania Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

    Niiteni masikini ila hii "money trap" Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..? Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!! Tuache tamaa. Tuache mizaa.
  10. JamiiForums Tanzania Uchumba sugu humsaidia mwanaume kuchuja aina ya wanawake na kujifunza nani hasa wa kuoa

    Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na atachoka kisha utazijua tabia zake zote na kama utaweza kumvumilia kwa miaka hiyo yote basi kumuoa...
  11. JamiiForums Tanzania Alidhani anapiga na kuacha lakini saaa ni mke wake wa ndoa

    Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae. Jamaa alikua anatuhadithia mambo wanavyofanya kwenye 6*6, mengine si mazuri. Yeye alidhani ni chapa ilale...
  12. JamiiForums Tanzania kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  13. JamiiForums Tanzania Nilivyozaa mtoto wa 2 nje ya ndoa

    1.JALADA LA KWANZA Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni miaka 15 iliyopita nilikuwa mkuu wa taasisi moja isiyo ya kiserikali,ambayo makao yake yalikuwa nje ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao ndoa zao zina matatizo yupo Mchungaji Daniel Mgogo.

    Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake. Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa. Sasa hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Kimapenzi au Ndoa.

    2024 Wanawake kama Wajasiria mwili tu, wao wanalenga Faida watakazo zipata mara Baada ya mwanaume kumtongoza.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Profesa Jean Messengue wa saikolojia , adai kushuka kwa maadili ya wanawake Afrika , chanzo cha vijana kutokuoa, Asema kufika 2030 ndoa zitakua hazipo

    Kwa mtazamo wake Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo, Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika. atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana. Atoa wito kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  19. JamiiForums Tanzania Tunakaribia kuachana ila naogopa sana itakuwaje kuhusu watoto wangu

    Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote. Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii Mara anipangie mara...
  20. JamiiForums Tanzania Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…