ndo

NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu. Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika) Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika.. Ni hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania, tumwombee sana Mzee Warioba. Ndo Mzee pekee ambaye amebaki kwa Maslahi ya Umma.

    Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi. Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA Ingefaidika vipi wakati nchi ikipinduliwa, jeshi ndo huchukua nchi

    Tuchukulie kwa mantiki ya hoja, bila kuamua kwanza kama tuhuma hizo ni za kweli au za uongo. Ikiwa kweli CHADEMA ingekuwa imepanga kuipindua Serikali, swali muhimu sana ni: CHADEMA INGEPATA FAIDA GANI?Kwa sababu kuipindua Serikali hakumaanishi kwamba CHADEMA moja kwa moja ingeichukua...
  7. JamiiForums Tanzania Waliochangia Mabilioni Kampeni za CCM ndo wenye ICD katikati ya Mji Dar

    Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD. Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu. ‘Bandari kavu zina mizizi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wengi wanaolewa na watu wasiokuwa wa ndoto zao!

    Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa; Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

    Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa. Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.😃😀🫷

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  12. JamiiForums Tanzania Barua ipo wazi kabisa kuwa ni Fake lakini bado watu wanaiamini jamani someni content ndo mtajua kuwa ni tango pori

    Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa. Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
  13. JamiiForums Tanzania Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

    Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo.. Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku. Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead...
  14. JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials.. Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani ardhi, uongozi bora, siasa Safi na watu

    Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi. Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndo nimejua ni kina nani wanazuia Katiba Mpya hadi Nchimbi akasema hadharani kwamba komaeni mpate Katiba Mpya

    Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030. Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
  19. JamiiForums Tanzania Fursa haitangazwi na ikitangazwa ujuwe ww ndo fursa. utapigwa hela

    Forex trader wanatangaza Lifestyle huku wanaficha Bidhaa wanayouza (Courses).......Waseme ukweli hela wanapata kwenye Course na sio Ku-trade
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mbona wanakobadili vyama kwenye uchaguzi ndo tunaenda kuomba?

    Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua kwamba kushikiria chama kimoja miaka hamsini mia ni mkwamo wa maendeleo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…