ndevu

Mthembeni Ndevu (born 15 September 1992), better known by his stage name Emtee, is a South African rapper. He is best known for his debut hit single, "Roll Up". Emtee was signed to Ambitiouz Entertainment, a South African independent record label. His debut album Avery was certified platinum by RISA on 1 July 2016.Avery included his breakthrough hit "Roll Up" and the follow-up hit single "Pearl Thusi". Emtee released his third album Manando in September 2015, the title referring to his late brother. His third album DIY 2 was released in 2018 and marked his final release with Ambitiouz Entertainment, following his departure from the label in August 2019. He then launched his own label in September the same year.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Vifusi vimemwaga Barabara Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 kisha vimetelekezwa

    Hapa ni Tegeta kwa Ndevu, hii ni barabara ya kuelekea Chuo cha Mzumbe, sasa hii barabara ilianza kufanyiwa marekebisho tangu Mwaka jana (2025) Mwezi wa Tisa lakini ilipofika Disemba kuelekea Januari 2026 wakamwaga vifusi na tangu hapo hakuna kinachoendelea hadi leo Machi 2026.
  2. Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

    Oy hope mko fiti. Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu. Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la...
  3. D

    Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  4. E

    Dawa ya kuondoa ndevu (Hair removal)

    Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta. Nimepita supermarket za posta, napo huko nimeikosa. Kariakoo kwenye maduka makubwa na madogo ya...
  5. M

    Dawa ya kuzuia vipele baada ya kunyoa ndevu.

    Habarini Wana-JF, kama kichwa kinavyojieleza. Vipele ni changamoto kubwa.
  6. Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  7. U

    Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  8. U

    Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  9. Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna iliyoniletea nafuu. Tafadhali nishaurini!
  10. Wassira: Wapinzani chezeeni ndevu na msithubutu kuchezea Dola ( CCM)

    "....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
  11. KERO Responded Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
  12. Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  13. Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  14. M

    Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

    Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili? Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
  15. Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu

    Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu Kama Kuna anayeuza tuwasiliane
  16. S

    Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

    Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza. Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia...
  17. Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  18. Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  19. Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
  20. Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…