Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo.
Kwa sasa hatuna taarifa nyingine .
Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂
Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
Dunia ya sasa imepoa sana.
Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji.
4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎.
Picha hii hapa inajieleza.
Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo.
Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
My Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi.
Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote...
Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani.
Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii.
Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
Ajali mbaya ya ndege ya mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami watu watano wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya ndege ya mizigo ya Amazon Prime Air kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami (MIA) Jumapili mchana, ikigonga magari kadhaa na kuwaka moto...