ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  2. Gaidi aliyekuwa akisakwa na IDF akamatwa ndani ya Benk huko Hebron-West-Bank!!

    Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi. Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
  3. Mnaouza gesi msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi kwa usalama wenu

    Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu: msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi. Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
  4. Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  5. Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  6. S

    Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  7. J

    Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  8. Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  9. Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

    Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi. Kazi ipo.
  10. J

    Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  11. Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  12. F

    Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

    Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole. Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii. Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
  13. Je, chadema masalia imemvua Tundu Lisu uenyekiti wa chadema taifa kinyemela na kumtelekeza korokoroni?

    Je, Hamphrey Polepole anaandaliwa kurithi mikoba ya Lisu na nafasi ya uenyekiti wa chadema masalia Taifa? Kwanini sasa, na mbona mapema mno? Kwasasababu kuna kila dalili na viashiria vya chadema masalia kwa ujumla wake kuhamisha ushujaa wa Tundu Lisu kwa polepole. Mtu wa watu anaandika mpaka...
  14. Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men...
  15. Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

    Habari wakuu, Nahitaji mfanyakazi wa ndani. Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana. Number ya mawasiliano - 0767836872. Asante.
  16. Ndani ya bustani ya wapendanao

    Mke huchanua kwa mapenzi. Mume huchanua kwa ukaribu. Wapendwa, water her heart. Lady share the honey. Hivyo ndivyo bustani ya ndoa inavyostawi. Stawisha ndoa yako kila siku.
  17. K

    Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
  18. Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
  19. Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  20. Ukiona unapoishi kuna demu single asipokuwa na mwanaume ndani anaacha viatu nje na kuna siku huoni kitu anauza ila hamjui code

    Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…