ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sanamu la Liberty 🗽 of status na siri iliyojificha ndani yake

    👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri. 👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi huo (craft) katika Freemasonry unahusu kujenga Ubongo wa juu, Kujenga moyo bora na kujenga nafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa kijeshi Burkina Faso wavunja tume ya uchaguzi, jukumu la chaguzi lawekwa chini ya wizara ya mambo ya ndani

    Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi imesema kuwa tume hiyo ilikuwa inasababisha upotevu mkubwa wa fedha bila kuleta ufanisi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  4. JamiiForums Tanzania RECORD: Jumla ya Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan moja kwaaji ya Saratani zimenunuliwa ndani ya miaka minne tu

    Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050. Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya...
  5. JamiiForums Tanzania JF itulinde wanaChadema, mada za CCM zimezidi, za kwetu zinapotea ndani ya sekunde kwa kuwa zinakosa wachangiaji, No reform inaweza kusahaulika

    Nashauri JF wabalansi ili na sisi tupate nafasi, ukurasa mzima unajadili CCM, mbalansi angalau na sisi tusisahaulike
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  7. JamiiForums Tanzania RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je? Humphrey Polepole Press Yake itabadili upepo ndani ya CCM?

    Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mtume maarufu Nigeria mwenye wafuasi milioni 10 asema Rais Samia atashinda uchaguzi 2025, wanaompinga ndani ya chama wataaibika, uchumi utang'aa

    Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025. Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nyoka Baada ya kuchomoza ndani ya Nyumba

    Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila kitakacho gonga juu ya bati ili wawahi kutoka nje kuokoa nafsi zao 😂😂
  14. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuishi na mwanamke ambaye anazaa nje ya ndoa akiwa ndani ya ndoa ni kujipunguzia life expectancy kwa mwanaume

    Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana. Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na mwanamke ambaye amezaa inje ya ndoa watoto wote hao au ni limbwata hilo Nini 🤣🤣🤣, Tatizo SS wanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  16. JamiiForums Tanzania Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

    Hii inatisha ndani kwa ndani aisee Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !! Hapumui, Cha msingi msiache glass za maji wazi . Britanicca!!!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tshabalala alikuwa miongoni mwa wasaliti ndani ya Simba, akiondoka nitafurahi sana

    Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
  18. JamiiForums Tanzania Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  19. JamiiForums Tanzania Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

    Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu. Sijui...
  20. JamiiForums Tanzania Joseph Philippe Lemercier: Abiria pekee mwenye asili ya Afrika aliyekuwa ndani ya meli ya Titanic

    Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912) Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912. 🧑‍🎓 Maisha ya Awali Joseph...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…