1. Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Samia ambayo ni wanzanzibari ndani ya Serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanaoendeleza utekaji. Hawa ndiyo Samia anawaamini. Sasa wanataka na Mwigulu naye awepo lakini Mwigulu yeye anapenda madaraka, anakula na kupuliza
2. Wana mtandao: Hawa...
Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025.
Makala hiyo inadai kuwa machafuko hayo hayakuwa ya ghafla, bali yalitokana na mgongano wa muda mrefu...
Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
“Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema.
Hata hivyo...
Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha.
Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.
Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.
Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
Katika chaguzi nyingi za kura za maoni ndani ya CCM, asilimia 60 hadi 80 ya walioshinda wamekuwa ni wale walioanza kampeni miaka 2 hadi 3 kabla ya mchakato kuruhusiwa rasmi na chama. Wamewekeza siyo tu muda, bali pia wamenunua ushawishi ndani ya mfumo wa chama kuanzia ngazi ya mashina hadi mkoa...
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia.
Hata hivyo, yapo maeneo...
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.
Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani.
Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa.
Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri.
Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
NI WAKATI WA KUFANYA SIASA ZENYE TIJA, HATUWEZI KUFANYA SIASA ZENYE AJENDA YA KIUPEPO UPEPO. KAMA NI MABADILIKO YATATOKA NDANI YA CCM YENYEWE.
Kuna watu furaha yao ni kuwa Wapinzani. Umaarufu wao ni kuwa upinzani. Na wanataka kupotezea watu muda wa kupeperusha ajenda zao maana ndio mtaji wao...
Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji.
Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.