nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SAMIDRC wagoma kuondoka nchini

    Katika hali isiyo ya kawaida, kama Uongozi wa SADC ulivyokuwa umekubaliwa na nchi ya Rwanda, kuwarahisishia wanajeshi wa umoja huo, kuondoka mashariki mwa DRC, kupitia mipaka ya Rwanda, huku wakielekea Chato, Tanzania, jana wanajeshi hao ndipo walitakiwa waanze kuondoka. Haikufahamika mara...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  5. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

    Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini. Regards, Mlei, Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
  6. JamiiForums Tanzania Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda yaahidi kumsomesha mtoto Jamal

    Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya Mechi kuwa 2-1 katika dakika ya 90+3 kisha akaonekana kushangilia kwa furaha baada ya Vipers...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini. Hana Damu inayoweza kumuuma...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC kuzindua viwanja viwili vikubwa nchini

    Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi. Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
  15. JamiiForums Tanzania Dimitri Payet kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji

    Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake mwanadada Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba. Nyota huyo wa zamani wa klabu ya West...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  19. JamiiForums Tanzania Zijue barabara kubwa nchini

    Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM) T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930) T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya ulipost hii picha Facebook 🤣🤣🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…