nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  2. Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  3. Zijue barabara kubwa nchini

    Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM) T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930) T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)...
  4. N

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya ulipost hii picha Facebook 🤣🤣🤣
  5. Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  6. CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
  7. Wazamiaji wa Tanzania USA rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Rais Samia

    Salaaam... Nikiri wazi namsikilozaga EBM sana kuna mambo anaongea "how to survive hizi nchi" kama upo legally sio wewe mzamiaji ni lazima utamtukana Sasa majuzi nikamsikia Watanzania ambao "WAMEZAMIA" hawana means ya kupata vibali wanamtukana kisa yeye ni timu TRUMP Yaani uombe B1/B2 uzamie...
  8. M

    Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  9. Serikali ya Lebano yasema imeshaujua ujanja wa Marekani na Israel.Hawataki kuletewa fujo nchini mwao.

    Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah. Viongozi hao wamelalamika...
  10. TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  11. Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  12. Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  13. Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  14. K

    Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  15. Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  16. Wito watolewa kwa wapenda amani duniani kupeleka vikosi Gaza ili kuwaokoa wapalestina wasiuliwe na kuhamishwa nchini mwao

    Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
  17. Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
  18. Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  19. S

    Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  20. Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…