nchi

  1. JamiiForums Tanzania Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  4. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  6. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  7. JamiiForums Tanzania Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

    Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka. Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala . Hili ni somo...
  8. JamiiForums Tanzania Hii nchi utapeli upo kila mahali

  9. JamiiForums Tanzania KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

    KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita. Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania kila kukitokea Jambo lisilo jema, la mjadala na la kuichafua Demokrasia ya nchi huamua Kulifunika kwa Teuzi za ghafla?

    Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku. Ambapo katika uapisho huo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia nchi yetu inavyoendeshwa. For Sure Tuna big Leadership Vacuum; Hatuna Strategic leadership. Ni Kama nchi inajiendesha yenyewe?

    VERSION 1 Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  15. JamiiForums Tanzania Wapinzani na Wanaharakati acheni kuilaumu Marekani na nchi za EU

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu sana lakini zaidi wakiilamu Marekani na Washirika wake Ulaya kutoweka shinikizo la kutosha kwa serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  17. JamiiForums Tanzania Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…