nchi

  1. Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  2. G

    SoC04 Tanzania tuitakayo na safari ya kuifikia nchi ya ahadi

    Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo tarehe 26/04/1964. Muungano huu ulifanyika kwa Jamhuri ya watu wa Tanganyika na Jamhuri ya watu wa...
  3. Tundu Lissu ndio turufu pekee tuliyobaki nayo Watanzania. Tusipomwelewa itakuwa ndio point of no return kama nchi

    binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
  4. Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  5. K

    Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  6. O

    Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  7. M

    Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  8. Ndoto Juu ya nchi Yangu (I have a Dream )

    Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu. Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali. Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake. Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia...
  9. Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  10. Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  11. Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  12. Piga Kura: Nchi gani itashinda EURO 2024?

    Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
  13. ni lini masikini watafurahia na kuzifaidi mali za nchi hii

    yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
  14. M

    Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
  15. Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
  16. Dhamira ya Kufungua Nchi pasinashaka ni Njema. Je, Tumejipangaje na athari zake?

    Chanzo: Jamiiforums.com, Roving journalist. "Tanzania sio kisiwa" utekelezaji wa kauli hii ulipoanza wengi ulituvuruga akili na kutuacha njia panda tukibaki tumeduwaa! Kwakweli Mama alitu-surprise hasa ile U-turn aliyoitwanga pasipo kupunguza mwendo, baada ya kupokea usukani... Hasa...
  17. M

    SoC04 Mabadiliko ya tabia ya nchi

    Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti na utunzaji mazingira. Hii itafanya kauli mbiu ya "kata mti panda mti" kufanikiwa tofauti na sasa...
  18. N

    Samaki anayetembea nchi kavu na kupaa juu

    Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
  19. SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has become a global challenge, caused primarily by the increase in greenhouse gases and excessive...
  20. Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…