nchi

  1. G

    DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  2. T

    Nikiangalia nchi yetu inavyoendeshwa. For Sure Tuna big Leadership Vacuum; Hatuna Strategic leadership. Ni Kama nchi inajiendesha yenyewe?

    VERSION 1 Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
  3. PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  4. Wapinzani na Wanaharakati acheni kuilaumu Marekani na nchi za EU

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu sana lakini zaidi wakiilamu Marekani na Washirika wake Ulaya kutoweka shinikizo la kutosha kwa serikali...
  5. Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  6. Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  7. F

    Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  8. Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  9. Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  10. Je, ni kweli Tanzania haina specialist wa Infectious disease nchi nzima?

    Hii kqzi imetangazwa miaka 4 iliyopita,,, Hadi leo hamna aliye apply!! Labda watakua wamechukua kutoka kenya sass maana tz nzima hakuna
  11. Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  12. Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  13. MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

    Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli Uganda - 2,Riadha Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
  14. D

    Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

    Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha. Nawasihi hawa...
  15. G

    Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

    Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
  16. L

    Nchi 10 bora Zinazoongoza kwa Kutegemea Misaada ya Kigeni Dunia

    1. Afghanistan Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP, 2021). Hali ya usalama duni na migogoro inaendelea kuathiri utegemezi huu. 2. Haiti Msaada...
  17. Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  18. Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  19. M

    Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  20. Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu. Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…