nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ubia si hiari, ni mkakati madhubuti wa kuikomboa nchi kiuchumi-David Kafulila

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha maendeleo ya sekta ya lojistiki, usafirishaji na elimu ya ufundi ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, akisisitiza kuwa sekta hizo ni nguzo...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

    Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake. Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa. Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye. Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe...
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania CCM hawawezi toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha

    Kichwa cha uzi kinatoshea niende kwenye why! Kwa sababu Ccm hawawez toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha na wanaoufanya kwa watanzania so sio rahisi hawa jamaa kuachia kirahisi sio kabisa. Na demokrasia haiwez waangusha hawa jamaa. Na kama ni demokrasia, ashinde...
  6. JamiiForums Tanzania 2030 Kuna watu watakimbia hii nchi. Hifadhini maneno haya

    Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda ni katiba hii mbovu ila akijichanganya tukapata katiba yenye meno na yeye atavuna alichopanda.
  7. JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila rais (Auto Pilot State)

    Tanzania tumeweka rekodi ya kipekee sana. Takribani miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila ya kuwa na rais wa nchi. Miaka hii mitano kila mtu sasa kawa msemaji, hatuna yule kiongozi mkuu wa nchi kutuongoza nchi imekuwa kama Auto pilot state.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayokimbiza mwenge kila mwaka duniani. Ndio maana kamwe haitofanikiwa licha ya utajiri wa rasilimali iliyonao

    Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una mtoto chini ya miaka 18 sikilizeni hapa ndio nchi inapoelekea

    Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu. Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali. Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa kutumikishwa kingono,uuzaji wa viungo na n.k. Ukiangalia wenzetu walivyo makini na watoto wao sio...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mitumba inayotoka Afrika kwenda nchi zingine?

    Tumezoea kuona mitumba kutoka Ulaya, Marekani, Canada, Korea, Uturuki, China n.k Ila sijaona mitumba yoyote sokoni kutoka nchi za kiafrika, tatizo ni nini? Nguo zetu zinazochakaa, zinazotubana, zinazopitwa na wakati n.k huwa tunazisafirisha kwenda nchi zipi kwa mauzo? Au ni soko lipi naweza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  13. JamiiForums Tanzania Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

    Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza, Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo...
  14. JamiiForums Tanzania Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

    Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq Jamaa kitu kikubwa kilichomfanya awe adui wa Marekani ni kwasababu alikosa utii na unyenyekevu kwa Marekani , marekani...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lipo jitu lenye miguvu na mapembe makali linaloamua mustakabali wa nchi yetu linauwa linajeruhi ni hatari kwa kila mtanzania

    Assalam alaykum Jitu hili sio la kufanyia mchezo litangamiza roho za watu wengi mno Jitu hili ni hatari hata kwa viongozi wakuu wa nchi, hizi lawama anazopewa mama yetu ni bure hili jitu ndilo linalofanya hiki mnachokiona hata mama mwenyewe hana cha kuliambia Rais aliyepita...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna nchi uchumi wake utegemea kuuza passport na kenya kuna kashifa wanayo ila sio hiyo nchi.

    Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport. Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free ambazo kwa passport yetu free utapata sudani ,somalia na zilizomo hata uwezi kufika na wala hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

    Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani Kilimo Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa Afya Bima kwa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Hakuna maridhiano(USANII) hapa; acheni tu nchi izikwe rasmi tuanze upya.

    Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai. Mnafiki yeyote...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za africa zina subiria kilicho kosea sio kuwai kinachoendelea kukosea.

    Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko. Serikali za afrika nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…