nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu

    wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  5. JamiiForums Tanzania Murilo anakaa wapi tukamsalimie? Tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda

    Murilo anakaa wapi tukasalimie tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  7. JamiiForums Tanzania Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  9. JamiiForums Tanzania watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu

    watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  11. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  13. JamiiForums Tanzania Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

    Hivi ni mimi peke yangu naliona hili? Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
  14. JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako wewe ambae hutatoka kupigania nchi tarehe 29, soma hapa

    Tarehe 29 Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule ambaye hatatoka tarehe 29 basi soma haya kwa moyo wote. Tunaishi nchi ambayo ofisi zimekuwa masoko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
  17. JamiiForums Tanzania Nchi Ikafanikiwa Kufanyiwa Mageuzi, Kamanda Muliro Afukuzwe Kazi

    Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala. Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia...
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu ushukuru Suala la Tanzania kutoka kwenye nchi ambazo Uchumi unakua kwa Kasi EAST kuzidiwa na Uganda Limekutana na Uchaguzi Ulikua Umekwisha

    Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

    Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…