nchi

  1. Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  2. K

    Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia)

    Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
  3. Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

    Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama. Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
  4. Wale tunao struggle kila mmoja amuulize "dingi" yake kua alikua wapi hizi royal families za nchi zikiwa zinaandaa mazingira ya kula keki ya taifa

    Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
  5. Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini. Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili...
  6. M

    Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

    Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
  7. Mara 100 mnizuie kuingia Ulaya yote kuliko kunizuia kutekeleza majukumu yangu ya kikatiba na nchi yangu Israel!!!

    "Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
  8. Tanzania tunaweza ku-emulate ile beauty ambayo ipo nchi zilizoendelea

    Xxx
  9. Mwanamuziki wa Marekani Ciara apewa Uraia wa nchi ya Benin

    Wakuu, Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa. Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
  10. L

    GE2025 CCM kupitia Amos Makalla Kuisimamisha Nchi Saa Tatu Na Nusu Usiku Huu. Jitahidini Kuwahi sehemu yoyote ile yenye Tv

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa niseme nini,nashindwa niwaambie nini maana Taifa limesimama na wananchi wametulia huku macho na masikio yakiwa mkoani Dodoma . Sasa Mwamba Mwenyewe mwenezi wa CCM Taifa Mheshimiwa sana CPA Amos Makalla anakwenda kuisimamisha nchi muda wa saa tatu usiku...
  11. M

    Nyie machalii wa Rachuga mnafamu mkoa wenu umepokea TZS3.5Trilioni ila mjue hiyo pesa ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi

    Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni. Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
  12. Ufaransa ili kuitambua Palestina yazitaka nchi za kiarabu kuwalaani Hamas, Na kwa ujinga wao watafanya

    Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi. Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema...
  13. M

    Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

    Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne...
  14. Kuanzia Tarehe 1-7 Agosti, NCHI itasimama! Chawa Watashangazwa. Kwa Sasa MIOYO yao imefanywa kuwa Migumu ili washangazwe

    Wakuu Kwa Ufupi naendelea kurudia kile kile nilichokisema Jana !! Hamna Uchaguzi Oktoba 2025. LISSU anaachiwa. Reforms zitafanyika. Ili haya yote yatimie, Kuanzia tarehe 1-7 ya mwezi ya Nane Kuna matukio yanaenda Kuwashangaza Machawa kwelikweli !! Oyaa Machawa wa Mama, Narudia, Mwisho wenu...
  15. NCHI ZA MAZIWA MAKUU: Hapakuwa na meli kubwa inayoweza kubeba watu 1,200 Tani 400 za mizigo, Magari 23 kwa pamoja kabla ya Rais Samia kutoa TZS121bn

    Rais Samia atumia TZS120.56 kujenga Meli ya MV Mwanza itakayobeba Tani 400, magari 20 na Malori 3 pamoja na abiria 1,200 kwa wakati mmoja. Kwa msiofahamu, MV Mwanza ni mradi wa kimkakati wa kitaifa unaoonyesha dhamira ya Rais Samia katika kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji wa...
  16. Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    JE UNAONA NI KWELI?? Maendelel makubwa na kitovu cha utalii
  17. Ushindani wa matajiri wakubwa wazawa Tz uwezi kuwapeleka nchi zenye ushindani na bidhaa zao.

    Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo. Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji zilizopangana kama behewa na kila aina ya kampuni wanaweza kupeleka bidhaa zao kushindana ukiachana na mazao.
  18. CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  19. CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  20. David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…