nchi

  1. JamiiForums Tanzania Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

    Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  3. JamiiForums Tanzania Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

    Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan. Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi katika nchi Hii ni wapemba tu wenye uwezo wa kupambana na CCM tu

    Najiuliza kila wakati hivi katika Nchi hizi mbili zilizoungana yaani Tanganyika na Zanzibar ni watu au raia kutoka Pemba tu ndio wenye ujasiri wa kupambana na CCM kwa hali na mali? Hili suala au kadhia ya mapambano ya kisiasa imefikia tujiulize inakuwaje ni watu kutoka Pemba tu ndio wana...
  5. JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio nchi ya kwanza Afrika ku-host U-20 world Athletics Championships

    Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita. Hapa chini team kutoka Poland...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama viongoz wakuu wa nchi wanaelekeza wananchi wapigwe na kuporwa mali zao wanawezaje kutenda haki?

    Nchi za Ulaya kashfa iliyoibuliwa leo mahakamani ilitosha kumwondoa gavana na Makamu wa Rais lakini huku kwetu kashfa ile inafaa kutumika kuendelea kumweka madarakani kiongozi mwenye maelekezo magumu kama yaliyoelekezwa kwa Sabaya. Naamini Makonda pia walishindwa kumpeleka mahakamani pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Usafi ni jambo muhimu, linalotazamwa kuanzia kwa mtu binafsi, nyumbani, ofisini, jamii ama taifa. Na watu wanaoishi kwenye eneo safi kwa mujibu wa wataalamu wanatajwa kuwa na maisha marefu zaidi kuliko wale wanaoishi kwenye mazingira machafu. Maji safi, hewa safi, utunzaji mzuri wa taka na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama zetu na Magereza wanatuangusha kama nchi

    Kitendo cha magereza kusema wameshidwa kuwaleta watuhumiwa kwasababu ya tatizo la usafiri ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Hizi kesi kama hii ya Mbowe inaonyesha upungufu mkubwa wa mtandao wetu wa kutoa haki. Yaani magereza wanaweza wakapewa hata mwezi halafu wanakuja na visingizio vya kijinga...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ni secular state/Haina dini

    Watanzania wapambanaji wenzangu habari. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Binafsi nimekuwa nakereka na tabia ya baadhi y watanzania wenzetu ambao wamegeuza maeneo ya kupumzika,majengo ya abiria na vyombo vya usafiri kama sehemu ya kufanyia mahubiri au mtangazo ya dini. Hii imekuwa too much...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

    Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Afghanistan, hadi Lithuania, ni nchi gani zinazopenda kuendelea kutumiwa na Marekani kama ni karata ya kutupwa baadaye?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
  15. JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

    Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania? Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau. Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

    KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA: Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA. Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi. Tatizo...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  20. JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…