nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  2. JamiiForums Tanzania Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tunapokumbwa na majanga makubwa duniani nchi zinapaswa kushikamana na kutatua kwa pamoja

    Jumatatu ya Februari 6, dunia iliamka kwa habari mbaya na za mshtuko baada ya nchi za Uturuki na Syria kukumbwa na tetemeko kubwa lenye kipenyo cha richta 7.8, ambalo limesababisha uharibifu mkubwa wa mali, na cha kuhuzunisha zaidi ni kwamba watu takriban elfu 40 katika nchi hizo mbili...
  4. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi: Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244% Tanzania 4.9% Kutokana na takwimu hizi, licha ya ongezeko la mfumuko wa bei, Tanzania bado iko...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

    Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Bora viongozi Bora siasa safi

    Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi. Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi Tanzania Ya sasa ina mpa kila mtu na fasi ya kuishi bila Hofu. Ulinzi umeboreshwa kwa kila mtu.shule hospital...
  7. JamiiForums Tanzania CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa Ya Ajira kwenye Magari makubwa ya Mikoani na nje ya nchi

    Mwenye fursa naomba tupeane connection
  9. JamiiForums Tanzania Watu wapewe PhD kulingana na mambo waliyoifanyia nchi, si makaratasi mliosomea madarasani

    Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia chochote Wala hayasaidii nchi yetu zaidi ya kutuibia tu. Nawaheshimu sana wanaopewa udokta kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nchi haina maji, wananchi msichimbe visima Bila vibali, ukichimba maji usiuze Bila leseni

    Nchi yetu ina mambo yanakusikitisha Shana yanayofanywa na watoa maamuzi Kwanza, tunakubaliana wote kwamba maeneo mengi hayana maji Ila chini ya ardhi kuna maji ambayo wenye fedha wanaweza kuchimba visima. Pili, tunakubaliana wazi kwamba serikali inazo sheria zinazowakataza wananchi kuchimba...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inayoangaliwa kufikishwa kimaendeleo kama Afrika Kusini ni Tanzania ila CCM ndiyo inapoteza muda

    kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake. Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  14. JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Sc-Wenye nchi tunaiweka nchi mbele

    Maandalizi yote ya tukio letu yamekamilika. Muda mfupi kutoka sasa tukio la wenye nchi tukiiweka nchi mbele litaanza. Tunakwenda kuzindua jezi za Simba za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tumepata baraka zote kutoka kwa mdhamini mkuu M-Bet."- Semaji la CAF Ahmed Ally.
  15. JamiiForums Tanzania Naunga mkono msimamo wa serikali juu ya kutoingilia bei ya chakula, tatizo ni kwamba katiba yetu bado inasema 'Tanzania ni nchi ya kijamaa'

    Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu za ngao (push bumper) kupigwa marufuku baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania

    Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa ni ASSET au LIABILITY kwa chama na nchi Kwa ujumla?

    Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

    Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
  20. JamiiForums Tanzania Umeshawai kusikia nchi iliyopo africa inaitwa Ambazonia

    Ambazonia ina patikana africa magharibi upande wa nchi ya cameroon ikipakana na nigeria chini au unaweza kuiita Southern Cameroons. Historia: Ambazonia inajulikana kama Ardhi ya Amba, ni jimbo lililojitenga lisilotambulika katika Afrika Magharibi ambalo linadai Kanda ya Kaskazini-Magharibi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…