Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limetangaza kufunga mfereji maarufu wa Harmuz (Strait of Hormuz) ambao ni maalum kwa kupitisha meli za mafuta kwa meli zinazotoka Marekani, Israel na nchi za Ulaya pamoja na washirika wao.
Kwenye taarifa hiyo, Iran imedokeza kuwa ina haki ya...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita.
Kauli yake...
Wakuu wasalaam!!
Bila kuwapotezea muda kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni kijana mpambanaji ambaye nina uchu na mafanikio, mpaka nimefikia kuleta Uzi humu Nina Nia ya kwenda kutafuta maisha huko Ulaya.
Mpaka kufikia uamuzi huo ni kwa sababu ya changamoto ya ugumu wa Maisha hapa nchini, Sasa...
Baada ya Donald trump kuzishutumu nchi za Ulaya kwa kukosa uongozi Bora kitendo ambacho kimepelekea uchumi wa bara la ulaya kushuka.
Ulaya wamekuja na propaganda za kuzishutumu nchi kubwa Duniani kuwa zinaendeshwa kidikteta wakati uchumi wao wote wa ulaya unategemea nchini hizo, Ulaya haigusi...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.
Wakati na baada ya...
Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa
Pia soma > PostGE2025 - Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa
Oya
Myahudi kachafukwa kinoma.
Hataki discussion na mtu yeyote yule.
=================
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri wawili wa Israel, walowezi wanaozua vurugu na viongozi 10 wa kundi la Hamas.
Waziri wa usalama wa...
Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu.
Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana.
Habari hizo...
Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12.
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kasi ya uwekezaji wa Mabilioni kwa mabilioni ya pesa unaofanywa na Rais Samia katika secta ya kilimo, kwa Mapinduzi ya kilimo yanayofanywa na Mama ,Kwa hatua zake za kuongeza Bajeti ya kilimo kufikia zaidi ya Trilioni moja point tisa, kwa kasi yake ya kuvutia...
Uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania unakaribia, na tayari kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutotambuliwa kwake na nchi za Ulaya na Marekani. Madhara ya hali hii yanaweza kuwa makubwa, sio tu kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) bali pia kwa wananchi wa kawaida. Katika makala hii, tutaangazia...
Naunga mkono kauli hii kwa kutumia hoja zofuatazo
1. Ukuaji wa pato la taifa (GDP Growth), ukuaji wa pato la taifa la Tanzania linatarajia kukua mpaka kufika 6% kwa mwaka 2025,ukilinganisha na 5.4% kwa mwaka 2024, ukanda wa Euro pato la taifa linakuwa kwa 1.3% na marekani ni 1.1% hii inaonyesha...
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi wote ni suala la muhimu sana kwa mataifa hayo.
Hali hiyo ni tofauti sana kwa Nchi za Kiafrika...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
WABUNGE WA UJERUMANI NI:
Michael Gahler
David McAllister
Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu!
Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.