nchi za afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  2. Mhaya

    Nchi za Afrika sasa zinatuma fedha nyingi zaidi kwenda China kuliko wanazopokea kama mikopo mipya

    Kwa miaka mingi, China imekuwa ikitoa mikopo mingi kwa nchi zinazoendelea, ikiwemo nchi nyingi za Afrika. Hata hivyo, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, hali hii imeanza kubadilika. Sasa, China inatoa mikopo mipya kidogo sana, huku nchi maskini zikiendelea kulipa madeni ya zamani...
  3. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  4. Mhafidhina07

    Nchi za Afrika kwa Kiasi kikubwa ni walalamikaji

    Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti. Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
  5. ChekoFagia

    (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  6. stakehigh

    Njia pekee ya maendeleo katika nchi za Afrika ni kupitia elimu na tafiti

    Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi...
  7. Analogia Malenga

    Zijue nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi 2025

    Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha. Januari 2025 12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano Februari 2025 2 Februari 2025: Togo – Seneti [imeahirishwa] Februari 2025: Togo – Rais Machi 2025 5 Juni 2025: Burundi – Bunge la Taifa Agosti...
  8. L

    Utawala wa kimkakati, kimbinu, na kiuwajibikaji wa CPC wafaa kuwa mfano kwa nchi za Afrika

    Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
  9. DuaZaMama

    Burkina Faso kutoa visa bure kwa raia wa Afrika

    Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya nchi. Uamuzi huo ulitolewa Alhamisi, wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri ulioongozwa na kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré "Kuanzia sasa, raia...
  10. Lord Denning

    Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  11. Dalton elijah

    Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  12. Roving Journalist

    Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  13. ndege JOHN

    Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  14. L

    Kampuni za magari ya umeme za China zafungua uwezo wa nchi za Afrika huku zikijizolea soko la magari ya umeme

    Kampuni za kutengeneza magari za China zinajitahidi kadiri ziwezavyo kufungua uwezo wa nchi za Afrika, huku zikitilia maanani magari ya umeme na nishati mseto, wakati ambapo vikwazo vya kuuza magari katika nchi za Marekani na Ulaya vikifanya makampuni haya kutafuta masoko mapya. Ingawa Afrika...
  15. Ricky Blair

    Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  16. Yoyo Zhou

    Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  17. L

    Nchi za Afrika zasema hapana kwa Marekani moja baada ya nyingine

    Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo "iliiacha Washington na kutafuta manufaa kwa Beijing", na ikaeleza wazi haki yake ya kuimarisha...
  18. H

    Uhuru wa nchi za Afrika haukupatikana kupitia demokrasia na haitokaa itokee bali kwa mtutu wa bunduki

    Huu ndiyo uhalisia "no pain no gain"
  19. H

    Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  20. L

    "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
Back
Top Bottom