Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema;
"Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...